lusekelo Andrew
Member
- Dec 10, 2012
- 62
- 19
Bavicha ni janga la Taifa. Kwao uwongo ndiyo nguzo katika harakati zao za kuudanganya umma.
Bavicha ni janga la Taifa. Kwao uwongo ndiyo nguzo katika harakati zao za kuudanganya umma.
Kwa Ben Saanane, Mawio na wote wanaowatuma, MSISAHAU MWISHO WA UONGO AIBU!
Huu ndio ukweli wa nilichosema juu ya wazee. Sasa pimeni wenyewe aibu ya nani kwa uzushi wenu! Si kila unacholishwa unabeba!
Na wendawazimu ni kujibu/ kuchangia hoja kwa 'point' isiyohusiana na mjadala. pia ni akili ndogo, tena mihemko ya kike. mtu aliweka hoja nukuu, mhusika amejibu, aliyeweka hoja awali, ameweka tena kumkanusha mhusika, wewe unakuja na point hata haina uhusiano na kinachoongelewa. si lazima uandike, wakati mwingine busara ni kusikiliza wengine bila kuongea. Hivi kwa nini hampevuki?
Idd Amin Dada alisukumwa na hisia hizi hizi za ubaguzi dhidi ya wazee akaishia kuwafanyia unyama.Usipoweka haya mambo clear au kuomba radhi utaishia kuonekana kwa haiba ile ile ya IDD AMIN Dada.Usipokua makini kuanzia leo utaishia kujenga image ya IDD AMIN DADA
-Usikubali kufanana na naibu katibu mkuu wako kwa kukurupuka na kupanga mambo ya kifedhuli hadi kujitengenezea haiba ya SAVIMBI.
Sio kitu kizuri kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo.Hebu tuusafishe uwanja wetu wa kufanya siasa za kistaarabu bila ubaguzi kaka.Kuanzia hapo tutajifunza kufanya siasa zenye tija kupitia sera sahihi zitakazowasaidia wazee wetu badala ya kuwadharau na kuwanyanyapaa kuwa wanasubiri kufa.
Huyu dogo Nape nafikiri alikosa paternal love utotoni.Hiyo hali imeathiri ukuaji wake,ndo maana amekuwa na maono hasi kwa wazee wanaume.Yani hiii kauli wameshaosikia wazee wengi na imewakosesha usingizi wazee wetu wakina MAKAMBA,MALECELA,lowasa,Mangula,Makinda na wengine.
Sijui wazee wetu wamemkosea nini NAPE.
Kama ulijua hungeweza kuhimili hoja na vioja vya wana-jamvi kwanini ukauleta uzi huu? Ukiyavulia maji nguo yaoge, kwanini sasa unakimbia? Kama huna muda wa kupoteza kujibu watu, ulipata wapi muda wa kuanzisha uzi huu!? Au unataka na mimi niamini kuwa kweli wewe huwa unakimbia hoja!?Unajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!
Mods, kama kweli tuna hakikishiwa kuwa JF sio mahali pa mtu kuleta uongo wake na kuendelea kudunda tu humu jukwaani, ningependa huyu mtu anaeitwa Ben Saanane awajibishwa kwa kuleta taarifa ya uongo humu jamvini.
cc: Paw, Buchanan, Moderator
Lonesome,
Bila kuathiri majibu ya Nape akiamua kuja kujibu lakini, hivi mwanaume mwenye mtoto mwenye watoto naye anaitwaje kama sio Babu?!! Dr. Slaa ana watoto wenye watoto nao, kama sio babu tumwite bibi? Linageukaje kuwa tusi hili???!
- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!
Le Mutuz
- He! he! he! yaani hii topic kumbe bado inaendelea tu sasa kuarasa 12 Majanga haya!!
Le Mutuz
- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!
Le Mutuz
- He! he! he! yaani hii topic kumbe bado inaendelea tu sasa kuarasa 12 Majanga haya!!
Le Mutuz
He! he! heheeeee! Kumbe bado na wewe unaendelea kuwepo! Hadi ukurasa wa 12? Janga hili!- He! he! he! yaani hii topic kumbe bado inaendelea tu sasa kuarasa 12 Majanga haya!!
Le Mutuz
Wala hajateua watu bali ni yeye mwenyewe katika ID tofauti. Hamjajua tu?Naona nape kawateua ACHEBE na MWANADIWANI kutetea utumob wake!
Thread yoyote ya nape lazma ahakikishe kuna vijana wamekuwa assigned kuitetea!
Well done,do your job
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Inasemakana una miaka zaidi ya hamsini...bado yanayokutoka kichwani mwako ni haya...aisee kweli Majanga- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!
Le Mutuz