Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Semeni lingine! Hakuna kama ITV....au mnataka iwe kama tbc....
 

Attachments

  • 1446717552022.jpg
    69.1 KB · Views: 549
Mtoa mada hajitambui kibisa anadhani mengi ni MTU wa kujikomba kama yeye hapo no
 
Tusimuonee mengi hata kama alikuwa anamtaka mtu wake lkn hakuonyesha wazi,ndio maana hata ccm wametumia vyombo vyake sana,tofauti na vyombo vingine ambavyo havikutaka kbs kurusha habari za upinzani,nachelea kusema mtoa mada ni mchonganishi
 

Jingalao acha kujipendekeza kwa Magufuli kwa kumchafua Mengi.
 
Na Muhongo ndiyo anakuwa waziri mkuu, hahaha hapatoshi. Akina mengi walikuwa wanataka kutuharibia nchi. Na ninashauri Magufuli na CCM kuwa nao makini sana. Nchi nyingi za bara la amerika ya kusini mpaka leo wanataabika kwa sababu ya watu wezi na wala rushwa kama akina lowasa kuingia madarakani
 
Mengi ni mwanaume wakweli alibalance habari.magufuli aliambatana na emanuel buholela nae lowasa alikuwa na spensa lameki.sasa mnaomsema mengi mlitaka afanye unafki kama star tv.nyie hamjui kama nibora mtu anaeonyesha habari za ukweli kuliko anayepotosha.mengi tunakukupali
 
Machaga yote nimetokea kuyachukia tu na mimeno yao iliyooza.
 
alikuwepo wakati anakabidhiwa cheti, leo tu ndo sijamwona
 

Wachaga wameingiaje hapo? Wewe kabila gani au huna kwenu?
 
wewe ni mtu wa low profile...Elimu ndogo ya Diallo ndo inamfanya awe ccm...hivi magafuli ni raisi wa wasukuma au? watu mnakuwa biased bila aibu...EU media monitors wana declare kuwa ITV na gazeti la mwananchi walizingatia weledi katika kipindi cha kampeni. Il hali star TV na TBC wakielemea upande mmoja wa CCM...sasa mnadhani kila mtazamaji wa start tv ni mwana ccm? mfano mimi kipindi chao cha BBC dira ya Dunia ni chaguo langu,...sasa nyie mabwege wa CCM (sio wote) kosa la Mengi ni uchaga wake au neutrality yake?

Nilishangaa sana eti mengi na ITV yazomewa...kumbe hamuwapendi wachaga...hawa jamaa walishavuka ujinga...ndo maana for the sake of equity walitamani wengi wapate elimu...but wengine mnapenda kuchunga ng'ombe tu na kucheza bao...wajinga ndo waliwao!
 
ukawa wamepigwa fair play,acheni kulia lia , kuna wanachadema wengi wamempigia kura magufuli ila hawasemi,

Hii ni kweli kabisa! na wengi walikuwa wanasema Magufuli tunamkubali lakini sio Chama!!!
 
Mengi alimfitini Prof.Muhongo sasa amerudi na u PM unamnukia huko alipo anajilowasa tu
 

Emmanuel Buhohela (mwandishi wa ITV) amezunguka nchi nzima na Magufuli aki-report mikutano yote na wakati mwingine akimpamba Magufuli kuliko uhalisia wa mikutano yake na kupitia ITV, mbona sikuwahi kusikia Magufuli analalamika na pengine hata kuomba ITV isirushe mikutano yake? Binafsi sikuona mapungufu yoyote ya Mzee Mengi na vyombo vyake vya habari.
 
Nakuunga mkono jingalao! Mengi ni mnafiki sana,hakuonyesha kipindi cha Huyu ndie Magufuli wakati wa kampeni amekuja kuonyesha jana wakati kipindi kina miezi kadhaa tangu kirekodiwe!ni mnafiki asiyepaswa kuchekelewa hata kidogo.Alimfanyia fitina sana Kikwete kwa mabarua na Kumchafua mitandaoni kuwa anataka kuuawa na Rais tena akatangaza kupitia tv yake ya ITV!
Ni mnafiki asiyepaswa kuwekwa karibu kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada unanipa wasiwasi na shule yako,lazima uelewe kuwa MENGI is a businessman,HABARI ZA CCM zilikuwa haziuziki katika kipindi cha kampeni na uchaguzi,ndio maana hata mgombea wa CCM Magufuli ilibidi ajipambanue na ccm ili aweze kueleweka,fanya research uone media zilizojikita kwenye itikadi za ccm zilivyokosa soko kama kamongo,pia hakuna mwana CCM aliyelazimishwa kuangalia ITV au kununua NIPASHE,mbona hawo wa channel ten,cloud,tbc hawakutuambiwa kuwa wao wako CCM? you making this personal with MENGI,Give us a break,unafikiri MENGI Na wazifa wake wa wamiliki wa vyombo vya habari aongoze kwa kuipendelea ccm bila kubalance kutakuwa na upinzani nchini? nyie ndio mburura mnaodhani upinzani ni vita na hauna umuhimu! check and balance is very important in any country,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…