Umeteuliwa nafasi gani na jk! Hebu fanya kazi syo kupigadomo tuMzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

kwamtoro, wakati mwingine ni vema kurudia ulichoandika kabla kukipost. "Kabila namba moja Tanzania?" acheni kujikweza coz hampati faida yoyote, that's total bull.shit dude!Magufuli pimbi tu, kamwe hawezi shindana na mengi akashinda. Hawezi shindana na kabila namba moja tanzania akashinda. Magufuli ni Rais, bado atabakia kuwa mchunga ngombe tu.
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
Mkuu kuwa makini na huu uchochezi...eti vilionesha nchi ina machafuko?,,,,,acha utotoAkiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.
Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...
Mwaka huu Mengi alishindwa na cloudstv
Kuelemea upande flani sio kosa kosa ni kuwa mnafiki
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
Mkuu bila shaka una yako na Mengi hivi unafikiri hizo tv zake unaangalia peke yako... Nimeangalia hizo tv zake jana na leo ikiwemo itv wameonesha habari nyingi kuhusu Mh Magufuli na kuapishwa leo na tena zilikuwa za kwanza na haitoshi waliweka kipindi maalum kuhusu Magufuli...hebu acha uongo na uchochezi alafu watu waseme ni mwana CCM...!Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.
Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!
Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.
Syo lazima ww uingie humu jf kaa bnchi tu! Na maneno yako ya kijinga kama mwenyewe!Hukuona au unajitoa ufahamu...
Mengi alikuwa fair, lakini kumbuka yeye ni mfanyabiashara, hawezi kurusha live coverage bila kulipwa, kitu ambacho inawezekana star tv walikifanya. Kumbuka star tv mmiiliki wake ni kada wa ccm, anaweza kuwafanyia bure. Mengi alikuwa anafanya biashara, usilinganishe wawili hao.
Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.
Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...
Mkuu kuwa makini na huu uchochezi...eti vilionesha nchi ina machafuko?,,,,,acha utoto