kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,440
- 1,397
Tatizo lao ni kwamba wameweka mahaba mbele badala ya kukubali ukweli kwamba timu yao bado ni dhaifu haina uwezo wa kupata matokeo ikiwa away, lazima tukubali kwamba Simba Sports haikuandaliwa jinsi ya kucheza ugenini na kupata matokeo chanya huo ndio ukweli, tatizo mashabiki wengi wengi wa kibongo walianza kuzipenda timu kabla ya kuujuwa mpira.Leo Makolo hatoboi.. ni mwendo wa kupasuka tu