Mwisho wa safari ya matumaini Simba SC

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
1,917
3,327
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu hakiwezi kutokea never on earth.

Leo ndio mwisho wa SAFARI ya MATUMAINI ya SSC, katika namna yoyote ile SSC hawezi kufuzu michuano hii kwa sababu kuu sifuatazo;

1. Hawana kocha mwenye kuelewa soka la Africa na katika utashi wa kujua kikosi cha ugenini. Utashangaa first eleven ya leo

2. Safu ya ushambuliaji ni butu, katika nafasi 10 zitakazotengenezwa, ni aidha moja au hakuna kabisa itakayoweza kutumika

3. Wachezaji hawana ile spirit ya die hard hasa kwa mechi ya ugenini
4 Wachezaji wamejiandaa kutolewa, Check hapo chini

IMG_7446.jpg

Huzuni ni kubwa.
5. Kuna moment beki ya simba inajisahau , magoli mengi huanzia kwenye uzembe, umakini ni sifuri.

Kwa sababu hizo hapo juu, wanasimba wenzangu naomba tujiandae kisaikolojia, tusipende kujipa matumaini katika vitu ambayo we know for sure kuwa chance yake ni 0.0000001, tukubali Matokeo na tuangalie msimu ujao.

Next season tuache Ubahili , tutoe hela kununua wachezaji wenye tija walioandaliwa kwa mashindano. Sio kwenda kuchukua wachezaji ambao ni average and expecting wonders, ni absurd.

Mpira ni time and Money hiyo ndiyo Investment. Hakuna Inshallah kwenye mpira, sijui Mungu tusaidie tushinde huku uwezo wako ni average.... ni kumtia mungu majaribu.

Tusisahau tarehe 30 , moja ya ahadi aliyoitoa Mayele ni kuifunga Namungo na SSC , hilo ndio deni lake na ameshalilipa, si mumeona Jana alivyotetema kwa HASIRA!?, Sasa imebaki SSC na atatimiza, Nasema nilazima atimize maana hilo ni Deni , this time no, DAR YOUNG AFRICA ni lazima ushindi dhidi ya KARIAKOO SIMBA SC na siku hiyo tarehe 30 Bodi ya Ligi itashinikizwa kuitangaza DAR YOUNG AFRICAN kama bingwa na mechi zote zitakazoendelea kuchezwa ni lazima young apewe heshima.

The Unbeaten
 
Mkuu mchezo wa mpira ni mgumu kutahirika kirahisi wanachohitaji ni nidhamu tu ya kucheza ugenini basi. Angalia jana Mamelod wameagia hapo hapo kwao, kuna kitu Simba wajifunze hapo kwa wenzao wanacheza away kama somo limewaingia vyema basi hakuna kinachoshindikana kwao kuwatoa pirates
 
Mashabiki wote wa Simba wanaojitambua Kwa Yale matokeo ya mechi ya kwanza walisha jua hatma ya timu Yao ila wamebakinayo moyoni .
Sasa wewe ukijidai kusema ukweli hadharani utapata mashambulizi ya kufa mtu.
Sio kama hawajui hatma Yao, wanajua ila awataki utangaze hadharani.
 
Timu yako ya Yanga inayoweza inashiriki michuano ipi ya CAF?, Tumeshawazoea nyie washabiki oyaoya wa mpira.

Tangu awali mlibweka na kubwabwaja eti SSC hafiki popote na hawezi mfunga yoyote ila mwisho wa siku shingo zenu mlizilaza kbra kisa kikapita.

Kwenye hatua hii ya robo finali ya michuano ya CAF msimu huu nani alijua Mamelodi na Esperance de Tunis wataagia mashindano kwao?.
Wenye akili butu kama wewe siku zote mnaenda na matokeo kichwani huku bila kujua uhalisia wa matokeo ni dakika 90.

Kwenye hii hatua tuachie SSC wenyewe tupambane kwa damu na jasho kuifuta Tanzania machozi ya kichwa cha mwendawazimu.
 
Huna haja ya kubishana nae...sisi na wao ni mlima na kichuguu.
 
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu hakiwezi kutokea never on earth.
Hii ndoto ikitimia bado utaamini ni ya Shetani ?
 
Safari ya matumaini alisafiri Yanga ndo maana akatolewa mapema....Simba anasafiri safari ya Ushindi ndio maana hata mechi ya kwanza kashinda. Kwaiyo tulia endelea kumfuatilia mumeo anavopiga kazi we kazi yako ni uandae tako tuu aje apoze uchovu.
 
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu hakiwezi kutokea never on earth.

Leo ndio mwisho wa SAFARI ya MATUMAINI ya SSC, katika namna yoyote ile SSC hawezi kufuzu michuano hii kwa sababu kuu sifuatazo;

1. Hawana kocha mwenye kuelewa soka la Africa na katika utashi wa kujua kikosi cha ugenini. Utashangaa first eleven ya leo

2. Safu ya ushambuliaji ni butu, katika nafasi 10 zitakazotengenezwa, ni aidha moja au hakuna kabisa itakayoweza kutumika

3. Wachezaji hawana ile spirit ya die hard hasa kwa mechi ya ugenini
4 Wachezaji wamejiandaa kutolewa, Check hapo chini

View attachment 2198351

Huzuni ni kubwa.
5. Kuna moment beki ya simba inajisahau , magoli mengi huanzia kwenye uzembe, umakini ni sifuri.

Kwa sababu hizo hapo juu, wanasimba wenzangu naomba tujiandae kisaikolojia, tusipende kujipa matumaini katika vitu ambayo we know for sure kuwa chance yake ni 0.0000001, tukubali Matokeo na tuangalie msimu ujao.

Next season tuache Ubahili , tutoe hela kununua wachezaji wenye tija walioandaliwa kwa mashindano. Sio kwenda kuchukua wachezaji ambao ni average and expecting wonders, ni absurd.

Mpira ni time and Money hiyo ndiyo Investment. Hakuna Inshallah kwenye mpira, sijui Mungu tusaidie tushinde huku uwezo wako ni average.... ni kumtia mungu majaribu.

Tusisahau tarehe 30 , moja ya ahadi aliyoitoa Mayele ni kuifunga Namungo na SSC , hilo ndio deni lake na ameshalilipa, si mumeona Jana alivyotetema kwa HASIRA!?, Sasa imebaki SSC na atatimiza, Nasema nilazima atimize maana hilo ni Deni , this time no, DAR YOUNG AFRICA ni lazima ushindi dhidi ya KARIAKOO SIMBA SC na siku hiyo tarehe 30 Bodi ya Ligi itashinikizwa kuitangaza DAR YOUNG AFRICAN kama bingwa na mechi zote zitakazoendelea kuchezwa ni lazima young apewe heshima.

The Unbeaten
Mkuu unatuchanganya mara unasema wewe ni Simba halafu tena unasema wewe ni Yanga. Tukuelewe vipi? Ndoto yako huenda ikawa kweli.
 
Kama mtategemea hela za Mo andikeni maumivu!
Nimefatilia wale petros de Luanda msimu huu walivunja kibubu na kusajili wachezaji ghali zaidi, kikosi chao ni ghali kuliko hata kile cha Mamelod Sundowns.

Kikibwa msumu ujao tunatakiwa ku-invest zaidi, hata hivyo bado hatuwezi ku-generalize kuwa Simba Sc imashatoka.
 
Mi mwenyewe nimebakiza akiba ya maneno maana mpira huwa hauna mwenyewe
 
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu hakiwezi kutokea never on earth.

Leo ndio mwisho wa SAFARI ya MATUMAINI ya SSC, katika namna yoyote ile SSC hawezi kufuzu michuano hii kwa sababu kuu sifuatazo;

1. Hawana kocha mwenye kuelewa soka la Africa na katika utashi wa kujua kikosi cha ugenini. Utashangaa first eleven ya leo

2. Safu ya ushambuliaji ni butu, katika nafasi 10 zitakazotengenezwa, ni aidha moja au hakuna kabisa itakayoweza kutumika

3. Wachezaji hawana ile spirit ya die hard hasa kwa mechi ya ugenini
4 Wachezaji wamejiandaa kutolewa, Check hapo chini

View attachment 2198351

Huzuni ni kubwa.
5. Kuna moment beki ya simba inajisahau , magoli mengi huanzia kwenye uzembe, umakini ni sifuri.

Kwa sababu hizo hapo juu, wanasimba wenzangu naomba tujiandae kisaikolojia, tusipende kujipa matumaini katika vitu ambayo we know for sure kuwa chance yake ni 0.0000001, tukubali Matokeo na tuangalie msimu ujao.

Next season tuache Ubahili , tutoe hela kununua wachezaji wenye tija walioandaliwa kwa mashindano. Sio kwenda kuchukua wachezaji ambao ni average and expecting wonders, ni absurd.

Mpira ni time and Money hiyo ndiyo Investment. Hakuna Inshallah kwenye mpira, sijui Mungu tusaidie tushinde huku uwezo wako ni average.... ni kumtia mungu majaribu.

Tusisahau tarehe 30 , moja ya ahadi aliyoitoa Mayele ni kuifunga Namungo na SSC , hilo ndio deni lake na ameshalilipa, si mumeona Jana alivyotetema kwa HASIRA!?, Sasa imebaki SSC na atatimiza, Nasema nilazima atimize maana hilo ni Deni , this time no, DAR YOUNG AFRICA ni lazima ushindi dhidi ya KARIAKOO SIMBA SC na siku hiyo tarehe 30 Bodi ya Ligi itashinikizwa kuitangaza DAR YOUNG AFRICAN kama bingwa na mechi zote zitakazoendelea kuchezwa ni lazima young apewe heshima.

The Unbeaten
Unaliwa na mazimwi wewe sio bure
 
Mashabiki wote wa Simba wanaojitambua Kwa Yale matokeo ya mechi ya kwanza walisha jua hatma ya timu Yao ila wamebakinayo moyoni .
Sasa wewe ukijidai kusema ukweli hadharani utapata mashambulizi ya kufa mtu.
Sio kama hawajui hatma Yao, wanajua ila awataki utangaze hadharani.
Una maumivu makali sana ya moyo,subiri na baada ya mechi,utalala na maumivu makali zaidi ya haya uliyonayo sasa hivi.Nitarudi kukumbusha umeze diclopar kabla hujalala usije kupasuka mishipa ya kichwa kwa stress za Simba kufuzu Semi final.
 
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu hakiwezi kutokea never on earth.

Leo ndio mwisho wa SAFARI ya MATUMAINI ya SSC, katika namna yoyote ile SSC hawezi kufuzu michuano hii kwa sababu kuu sifuatazo;

1. Hawana kocha mwenye kuelewa soka la Africa na katika utashi wa kujua kikosi cha ugenini. Utashangaa first eleven ya leo

2. Safu ya ushambuliaji ni butu, katika nafasi 10 zitakazotengenezwa, ni aidha moja au hakuna kabisa itakayoweza kutumika

3. Wachezaji hawana ile spirit ya die hard hasa kwa mechi ya ugenini
4 Wachezaji wamejiandaa kutolewa, Check hapo chini

View attachment 2198351

Huzuni ni kubwa.
5. Kuna moment beki ya simba inajisahau , magoli mengi huanzia kwenye uzembe, umakini ni sifuri.

Kwa sababu hizo hapo juu, wanasimba wenzangu naomba tujiandae kisaikolojia, tusipende kujipa matumaini katika vitu ambayo we know for sure kuwa chance yake ni 0.0000001, tukubali Matokeo na tuangalie msimu ujao.

Next season tuache Ubahili , tutoe hela kununua wachezaji wenye tija walioandaliwa kwa mashindano. Sio kwenda kuchukua wachezaji ambao ni average and expecting wonders, ni absurd.

Mpira ni time and Money hiyo ndiyo Investment. Hakuna Inshallah kwenye mpira, sijui Mungu tusaidie tushinde huku uwezo wako ni average.... ni kumtia mungu majaribu.

Tusisahau tarehe 30 , moja ya ahadi aliyoitoa Mayele ni kuifunga Namungo na SSC , hilo ndio deni lake na ameshalilipa, si mumeona Jana alivyotetema kwa HASIRA!?, Sasa imebaki SSC na atatimiza, Nasema nilazima atimize maana hilo ni Deni , this time no, DAR YOUNG AFRICA ni lazima ushindi dhidi ya KARIAKOO SIMBA SC na siku hiyo tarehe 30 Bodi ya Ligi itashinikizwa kuitangaza DAR YOUNG AFRICAN kama bingwa na mechi zote zitakazoendelea kuchezwa ni lazima young apewe heshima.

The Unbeaten
Nyie endeleeni na NBC, caf sio level yenu.
 
Una maumivu makali sana ya moyo,subiri na baada ya mechi,utalala na maumivu makali zaidi ya haya uliyonayo sasa hivi.Nitarudi kukumbusha umeze diclopar kabla hujalala usije kupasuka mishipa ya kichwa kwa stress za Simba kufuzu Semi final.
Simba ikifuzu nusu fainali kuna watu wataumwa na kuzidiwa kabisa...😂😂
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom