Mwisho wa safari ya matumaini Simba SC

Hali ni mbaya hapa SAUZI

NIPO UWANJANI . Next 10 min simba anakuwa ameshafungwa

Hali ni mbaya maana simba anashambuliwa na sioni plan b ya kocha

Ni suala la Muda
 
Hali ni mbaya hapa SAUZI

NIPO UWANJANI . Next 10 min simba anakuwa ameshafungwa

Hali ni mbaya maana simba anashambuliwa na sioni plan b ya kocha

Ni suala la Muda
Nakuona unavyohangaika kama kuku anayetaka kutaga.
 
Hali ni mbaya hapa SAUZI

NIPO UWANJANI . Next 10 min simba anakuwa ameshafungwa

Hali ni mbaya maana simba anashambuliwa na sioni plan b ya kocha

Ni suala la Muda
Wewe mbwiga na hater wajisikiaje huko uliko?

Yaani umekazana kuomba tufungwe?
 
Hali ni mbaya hapa SAUZI

NIPO UWANJANI . Next 10 min simba anakuwa ameshafungwa

Hali ni mbaya maana simba anashambuliwa na sioni plan b ya kocha

Ni suala la Muda
Hongera mkuu kwa ushindi mlioupata.
 
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu hakiwezi kutokea never on earth.

Leo ndio mwisho wa SAFARI ya MATUMAINI ya SSC, katika namna yoyote ile SSC hawezi kufuzu michuano hii kwa sababu kuu sifuatazo;

1. Hawana kocha mwenye kuelewa soka la Africa na katika utashi wa kujua kikosi cha ugenini. Utashangaa first eleven ya leo

2. Safu ya ushambuliaji ni butu, katika nafasi 10 zitakazotengenezwa, ni aidha moja au hakuna kabisa itakayoweza kutumika

3. Wachezaji hawana ile spirit ya die hard hasa kwa mechi ya ugenini
4 Wachezaji wamejiandaa kutolewa, Check hapo chini

View attachment 2198351

Huzuni ni kubwa.
5. Kuna moment beki ya simba inajisahau , magoli mengi huanzia kwenye uzembe, umakini ni sifuri.

Kwa sababu hizo hapo juu, wanasimba wenzangu naomba tujiandae kisaikolojia, tusipende kujipa matumaini katika vitu ambayo we know for sure kuwa chance yake ni 0.0000001, tukubali Matokeo na tuangalie msimu ujao.

Next season tuache Ubahili , tutoe hela kununua wachezaji wenye tija walioandaliwa kwa mashindano. Sio kwenda kuchukua wachezaji ambao ni average and expecting wonders, ni absurd.

Mpira ni time and Money hiyo ndiyo Investment. Hakuna Inshallah kwenye mpira, sijui Mungu tusaidie tushinde huku uwezo wako ni average.... ni kumtia mungu majaribu.

Tusisahau tarehe 30 , moja ya ahadi aliyoitoa Mayele ni kuifunga Namungo na SSC , hilo ndio deni lake na ameshalilipa, si mumeona Jana alivyotetema kwa HASIRA!?, Sasa imebaki SSC na atatimiza, Nasema nilazima atimize maana hilo ni Deni , this time no, DAR YOUNG AFRICA ni lazima ushindi dhidi ya KARIAKOO SIMBA SC na siku hiyo tarehe 30 Bodi ya Ligi itashinikizwa kuitangaza DAR YOUNG AFRICAN kama bingwa na mechi zote zitakazoendelea kuchezwa ni lazima young apewe heshima.

The Unbeaten
MAKOLO WAMEKIMBIA THREAD
 
Hongera mkuu kwa ushindi mlioupata.

Niliwaambia. Hali ni mbaya. Hata hivyo manula amewasaidia sana. Tukiongea kitu ni kwamba tunajua. SSC haijawahi kuandaliwa kwa hizi knock out . Group stage ndio inaibeba simba. Kila siku mtabaki Dah bado kidogo tu tuingie nusu fainal na hamuingii. Sababu kubwa ni timu haipati mafunzo ya kucheza ugenini. Tuendelee kuamini kuwa haikuwa bahati,.
Ili SSC ifanye vyema katika hizi michezo. Inahitaji kufundishwa na kujengewa uwezo namna ya kucheza ugenini.
Baada ya kipindi cha kwanza. Niligundua Orlando imzkuwa overrated. Kocha angekuwa mzuri kwa technic , ORLANDO ilikuwa ni OUT.
Safu butu ya ushambuliaji ime icost SSC .

Haya sasa mje TZ kula maarage
 
Tukiongea kitu ni kwamba tunajua. SSC haijawahi kuandaliwa kwa hizi knock out . Group stage ndio inaibeba simba. Kila siku mtabaki Dah bado kidogo tu tuingie nusu fainal na hamuingii. Sababu kubwa ni timu haipati mafunzo ya kucheza ugenini. Tuendelee kuamini kuwa haikuwa bahati,.
Acha kujifanya mjuaji wewe, penalti haina mwenyewe.

Hizo saba ulizosema mbona hatujaziona ?
 
Simba tuliwaambia jana hamna uwezo wa kupata matokeo away, mkawa mnaendekeza mapenzi na timu yenu badala ya uhalisia.
 
Back
Top Bottom