Mwisho wa safari ya matumaini Simba SC

On whether Simba’s advantage from the first leg is enough, I don't think so. I think Pirates have very good players and 1-0 victory isn’t a comfortable lead to take to South Africa. It is not enough considering Pirates are very good when playing at home.
 
Timu yako ya Yanga inayoweza inashiriki michuano ipi ya CAF?, Tumeshawazoea nyie washabiki oyaoya wa mpira.

Tangu awali mlibweka na kubwabwaja eti SSC hafiki popote na hawezi mfunga yoyote ila mwisho wa siku shingo zenu mlizilaza kbra kisa kikapita.

Kwenye hatua hii ya robo finali ya michuano ya CAF msimu huu nani alijua Mamelodi na Esperance de Tunis wataagia mashindano kwao?.
Wenye akili butu kama wewe siku zote mnaenda na matokeo kichwani huku bila kujua uhalisia wa matokeo ni dakika 90.

Kwenye hii hatua tuachie SSC wenyewe tupambane kwa damu na jasho kuifuta Tanzania machozi ya kichwa cha mwendawazimu.
ILE NI LIGI YA MABINGWA COMRADE USIFANANISHE KULE NA MLIKO NINYI KULE TIM U NYINGI ZIMEWEKEZA MUDA NA PESA, HEBU IANGAILIE ILE TIMU PETRO DE LUANDA KWA MISIMU MIWILI TU BAJETI YAKE NI ZAIDI YA BILIONI 23 SASA UTAWEZA KUIFANANISHA NA SIMBA SPORTS AMBAYO BAJETI YAKE KWA MWAKA HAIVUKI HATA BILLIONI TANO, INAFIKIA HATUA LAZIMA TUKUBALI HALI HALISI TUSIWEKE MAPENZI MBELE, KUUKUBALI UKWELI NDIO UTAKAO TUFANYA TUPIGE HATUA NA SIO MASUALA YA KUWEKA MAHABA KWENYE HAKUNA.
 
On whether Simba’s advantage from the first leg is enough, I don't think so. I think Pirates have very good players and 1-0 victory isn’t a comfortable lead to take to South Africa. It is not enough considering Pirates are very good when playing at home.
NOTED
 
ILE NI LIGI YA MABINGWA COMRADE USIFANANISHE KULE NA MLIKO NINYI KULE TIM U NYINGI ZIMEWEKEZA MUDA NA PESA, HEBU IANGAILIE ILE TIMU PETRO DE LUANDA KWA MISIMU MIWILI TU BAJETI YAKE NI ZAIDI YA BILIONI 23 SASA UTAWEZA KUIFANANISHA NA SIMBA SPORTS AMBAYO BAJETI YAKE KWA MWAKA HAIVUKI HATA BILLIONI TANO, INAFIKIA HATUA LAZIMA TUKUBALI HALI HALISI TUSIWEKE MAPENZI MBELE, KUUKUBALI UKWELI NDIO UTAKAO TUFANYA TUPIGE HATUA NA SIO MASUALA YA KUWEKA MAHABA KWENYE HAKUNA.
Timu lako limewekeza shingapi?
 
Timu lako limewekeza shingapi?
msimu huu tumewekeza 800 million Tshs, msimu ujao 2.5 billion Shs speed yetu ni ya kinyonga lkn tutafikia kwenye level ya kulamba asali na maziwa, Football haihitaji shortcut kama nyie mnavyodhani leo tunawaona AL AHLY wanafanya vizuri kwenye Mashindano ya vilabu Afrika sio kwa bahati isipokuwa wenzetu walishatumia rasili mali muda na fedha na zikawaletea mafanikio lazima tukubali huu ukweli, Mpira wa sasa hauna eti tuiombee timu yetu ishinde kama una timu dhaifu kama Simba sports hata uombewe na manabii na mitume huwezi kuvuka hii hatua ya robo fainali.
 
Kama mtategemea hela za Mo andikeni maumivu!
Ungefatulia mfumo wa uonhozi wa Petroleos Atletico usingekuja kuandika hapa, hata hao Mamelod wapo chini ya tajiri mmoja Motsepe ni kama Azam Fc tu hapa ilivyo chini ya Bakharesa.

Team kubwa ambazo zina mfumo wa uendeshaji usiotegemea mtu mmoja ni zile za Misri na Morocco.
 
msimu huu tumewekeza 800 million Tshs, msimu ujao 2.5 billion Shs speed yetu ni ya kinyonga lkn tutafikia kwenye level ya kulamba asali na maziwa, Football haihitaji shortcut kama nyie mnavyodhani leo tunawaona AL AHLY wanafanya vizuri kwenye Mashindano ya vilabu Afrika sio kwa bahati isipokuwa wenzetu walishatumia rasili mali muda na fedha na zikawaletea mafanikio lazima tukubali huu ukweli, Mpira wa sasa hauna eti tuiombee timu yetu ishinde kama una timu dhaifu kama Simba sports hata uombewe na manabii na mitume huwezi kuvuka hii hatua ya robo fainali.
Kama jinsi ambavyo Mamelod hawajawekeza kiasi cha kutolewa kwenye hatua ya robo fainali mara nne mfululizo?

Ni kweli mpira unahitaji uwekezaji ndiomaana Simba Sc ipo robo fainali wakati nyingine bado ipo NBC ikihangaika.
 
Hizi kauli za mwisho wa Simba Sc tumeanza kuzisikia tangu zamani sana.
SASA LEO NDIO ZINAHITIMISHWA RASMI, MNALETA MAHABA PASIPO NA KUKUBALI UKWELI, INAPASWA KWANZA KUKUBALI UKWELI KWAMBA SIMBA NI TIMU DHAIFU MBELE YA ORLANDO KISHA NDIO MAHABA YAFUATIE.
 
Back
Top Bottom