Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Utaishije kiholela na mwanamke wa mtu mkuu aseeh
Mkuu sina hofu ya kupata mwanamke hofu yangu Ngumu sana kumpata mwanamke mwenye vision kama yake,nadhani ndio maana hata jamaa kaamua kuoa japo (atakuwa ) sina hakika kajua alikuwa na mimi.mkuu embu angalia hii statistics halafu unambie hofu yako ni nini?
Hawakuwa wameoana mkuu,walikuwa wapenzi na niliamini atamsahau jamaa lakini imekuwa tofauti na matarajioUtaishije kiholela na mwanamke wa mtu mkuu aseeh
Duuh chelewa chelewa yako imekukosesha mchumba sasa...Hawakuwa wameoana mkuu,walikuwa wapenzi na niliamini atamsahau jamaa lakini imekuwa tofauti na matarajio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh nimeamini kweli pesa nafasi yake ndogo sana kwenye mapenzi ya kweli hasa hasa kwa hiki kinachonitokea.Hapo ndio utajua kweli pesa ni makaratasi wala hazina nafasi kununua roho!
Hahahahaha haya mkuu.Mkuu ushaambiwa yameisha bado huamini tu. Take your time japo Moyo unaumia.
We ni wa Dar?
Hahahahaha haya
Karibu
😀😀
afu mbona siku hiz umeitoa ile sent from techno yako?Matokeo ya kuchelewa chelewa hayo na suprise imegeuka kua kilio
Haha baba mbona mkorofi hvo? Sasa unataka niaibike na tekino yangu wakt ww na iphoneafu mbona siku hiz umeitoa ile sent from techno yako?

mi mwenyewe techno. kuna mdada ameiba iphone yanguHaha baba mbona mkorofi hvo? Sasa unataka niaibike na tekino yangu wakt ww na iphone![]()
Mmmh we mtu mkubwa sana huezi tumia tekino hyo tuachie sio low levelmi mwenyewe techno. kuna mdada ameiba iphone yangu
Unanipenda?Unamaanisha nn hapa,?
Hana ubora tena kama alikubali kumsaliti boy friend wake wa kwanza.fahamu hata wewe ungeenda masomomi angetafuta njemba mwingineNgumu sana kuukubali ukweli lakini sio siri Roho inaniuma mno sio kwamba mwanamke yupo peke yake la hasha ila mwanamke bora kati ya wanawake Nae yumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema?Mmmh we mtu mkubwa sana huezi tumia tekino hyo tuachie sio low level