Mwisho wa Penzi.

Mwisho wa Penzi.

kama mlinunua wote na yeye ameamua kukuachia sasa unataka kuviuza kwa nini? unless view na jina lake ila kama vina jina lako songa navyo mbele kwanza siku hizi wanunuaji wa viwanja na mali nyingine ni wachache sana. Hii awamu ngumu watu watakulalia mwisho wa siku utakosa mwana na maji ya moto (msemo wa wahenga). Usiuze mali tayari kakuachia endelea na maisha. Halafu siku nyingine ukipenda sio unapenda mazima weka akiba kidogo mtu kakwambia mpk muda mchumba wake anaorudi bado na wewe unaingia mazima. Pole muda utakuponya
 
Jina ni la kwangu kwenye makalatasi yote ila wazo alitoa yeye na pesa iliyoferi kwenye malipo japo ni Robo ya manunuzi alitoa yeye na si haba.
Tatizo kila nitakapokuwa naona mali ambazo tulifanya share nadhani nitakuwa naumia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
263cb2b5012c7ebc2cd95c725ac96fb2.jpg
 
Back
Top Bottom