corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,664
- 3,394
Ha ha ha mapenzi chombo cha moto ........Mkuu kuna kipindi haya mambo yanaweza kukuchanganya hata umri usiwe na msaada wowote. Mapenzi chombo cha moto, yanahitaji leseni
Ha ha ha mapenzi chombo cha moto ........Mkuu kuna kipindi haya mambo yanaweza kukuchanganya hata umri usiwe na msaada wowote. Mapenzi chombo cha moto, yanahitaji leseni
Hilo kosa kubwa kwa nini usimwambie jambo kubwa kama hilo ndio mana kakuacha..kaona husomeki unampotezea muda tu..hii iwe fundisho kwa wanaume wote mnaopenda surprise..duuh pole lakinMkuu mipango ilikuwa miezi minne ijayo nianze taratibu za mahali japo sikumwambia nilipenda iwe kama suprise kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umekuwa surprised wewe!pole sanaMkuu mipango ilikuwa miezi minne ijayo nianze taratibu za mahali japo sikumwambia nilipenda iwe kama suprise kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app