Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,788
- 22,133
- Thread starter
- #61
Pombe sio kitu kizuri halafu nilishangaa sana maana sijawahi kuwa vile, lakini sikumfanyia fujo wala lolote baya, ila aliponishauri kuhusu pombe nadhani nilichomjibu hakikumfarahisha ndio tukakosa kuelewana.
Mambo yashaisha saivi tuko vizuri kwa sana.
Pombe sio kabisa.