Mwisho wa ndoa umefika

Mwisho wa ndoa umefika

Chupa mbili fresh

Lakini jamaa kasema kanywa kidogo sasa kidogo hiyo ni ipi??? Je km ni kreti zima?
Usikute kaoa msabato hataki kusikia harufu ya bia...

Bia ina raha yake na inapendeza zaidi kama ikikuweka karibu na watu waliofanikiwa zaidi ili kuzungumzia mambo ya fedha na si vinginevyo...
 
Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye stranger pekee kwenye hiyo familia unayoiita ya kwako. Hiyo nyumba ni ya huyo mwanamke na watoto wake. Not yours.!
Babu yangu aliniambia kwamba mwanaume aliyeoa ni sawa tingatinga, ambalo linatengeneza barabara, lakini ikishakamilika linabebwa juu juu kwenye lori na kuondolewa, eti likitembea litaharibu barabara. Yani barabara ambayo tingatinga lenyewe limeitengeneza haliruhusiwi kutembea juu yake.
Vivyo hivyo kwa mwanaume aliyeoa. Atajinyima, atajishughulisha, atajizuia kufanya anasa, atakopa, atavaa mitumba ili tu watoto wake waishi vizuri, wale vizuri na kusoma shule nzuri. Siku hizi urithi pekee uliobaki ni elimu bora coz mashamba ziliishaga. Lakini pamoja na yote hayo, bado ukizeeka hao watoto sio wako, ni wa mama yao. Wewe watakuita "kamzee".
Watoto wakiwa na umri wa miaka 10 ndipo mama yao anaanza kuwajaza taarifa zisizovutia kuhusu wewe. Kadri wanavyokuwa ndivyo wanavyoelezwa mambo mengi. Wakifika utu uzima atawaambia "isingekua mimi hamgesoma, yeye alikua ni pombe tu na wanawake" Ukisikia hivyo ujue tingatinga limemaliza kazi yake sasa linakaribia kuondolewa barabarani.
Watoto wanapoanza kazi, mzee anakua amestaafu. Wanapokuja kutembelea wazazi, wakiondoka wanampa baba elfu 5 mbele ya mama. Halafu wanaenda jikoni na mama, wanampa hela kwa siri bila mzee kujua. Wakiondoka mama anamfuata mzee na kumwambia sukari imeisha. So ni suala la mzee kuamua kutoa ile elfu 5 aliyoachiwa na watoto ikanunue sukari, otherwise anywe chai isiyo na sukari. Hii ni moja ya sababu inayowafanya wazee kufa mapema baada ya kustaafu na kuacha wake zao wajane.
Nimeshuhudia wazazi wenye watoto ng'ambo wakimchukua mama yao akaenjoy life majuu, na kumuacha baba yao nyumbani akilisha ng'ombe zao mbili, na kutafuta chakula cha kuku.!
Wanaume work hard and save something for yourself at old age. Tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka dont expect too much from them. Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani. Kama huna hela utaumwa hata na mbwa yako mwenyewe.!!

facts mkuu.
kunywa soda me ntalipa
 
Ungerudi saa 12 ingependeza, pole sana.

Ndugu zanguni, nimejitahidi sana kujishusha na kumpenda mke wangu ambaye ni mjaluo, kosa eti nimerudi SAA mbili usiku nimekunywa pombe kidogo imekuwa taabu,

Ndoa zipo hivyo? Nimeshatoa kibali aende, mi ni mwanaume niliye rijali sitaki kuumia nafsi yangu, aendee,
 
Hongera sana umenikumbusha marehemu babu alivyonyanyaswa na bibi ilikuwa inaniudhi mno mno
 
Yaani ni kweli tupu ila wababa wanajitengaga na watoto wenyewe.Unakuta hela ya ada nguo hspl kucheza matumuzi nyumbani anapewa mama tena wasivyo na akili anampeya mama hela chumbani kwa hiyo siku zote watoto wanakuwa wakijua kuwa wanahudumiwa na mama peke yake ndo maana uzeeni watoto wamtunza mama zaidi sababu wanajua bila mama wasingekuwa hapo walipo.
 
Na ww ulikula maharage ya wap
Ukaenda kubeba mjaluo
 
Ndugu zanguni, nimejitahidi sana kujishusha na kumpenda mke wangu ambaye ni mjaluo, kosa eti nimerudi SAA mbili usiku nimekunywa pombe kidogo imekuwa taabu,

Ndoa zipo hivyo? Nimeshatoa kibali aende, mi ni mwanaume niliye rijali sitaki kuumia nafsi yangu, aendee,
Umeandika hii ukiwa timamu?
Umwache mkeo kisa pombe? Think it over mzee, ikibid achana na pombe.
 
Ndugu zanguni, nimejitahidi sana kujishusha na kumpenda mke wangu ambaye ni mjaluo, kosa eti nimerudi SAA mbili usiku nimekunywa pombe kidogo imekuwa taabu,

Ndoa zipo hivyo? Nimeshatoa kibali aende, mi ni mwanaume niliye rijali sitaki kuumia nafsi yangu, aendee,
Hizo akili za lager kesho pombe ikiisha kichwani utalala na mgomba!
 
Ndugu zanguni, nimejitahidi sana kujishusha na kumpenda mke wangu ambaye ni mjaluo, kosa eti nimerudi SAA mbili usiku nimekunywa pombe kidogo imekuwa taabu,

Ndoa zipo hivyo? Nimeshatoa kibali aende, mi ni mwanaume niliye rijali sitaki kuumia nafsi yangu, aendee,
Wanawake ni km maji ya mto, yakijaa hutafuta njia na vinjia vya kupita,usifanye haraka kumfukuza labda alikuwa anayafuta njia ya kukudhibiti,ili muishi milele,siyo kila kosa linamaanisha kuachana ama kukuchukia,makosa mengine ni matokeo ya nia njema,
Relax,simplify tatizo
 
Siyo kila mwanaume anafaa kuwa mume,yaani hili nalo huyu jamaa analiita tatizo na kesha kata tamaa?
Namuonea huruma sana mke wake,maana ni km behewa jipya kuvutwa na kichwa kibovu cha treni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom