Mwisho wa ndoa umefika

daah aisee mkuu wwe ni msenge sana
 
Fact of life.
 
 
Hiyo ndoa ya kuachana kwa usiku mmoja nina mashaka nayo!
 

Kuna mzee mtu mzima sana aliniambia wanaume huwa hatujitambui. Hela ya chakula unamkabidhi mama chumbani. Mama anatoka na kapu ananunua chakula anapika anawaambia watoto wanangu njooni mle nimewapikia chakula kitamu. watoto wanasema asante mama. Hela ya nguo za sikukuu unamkabidhi mama chumbani. Kesho yake mama anatoka anaenda dukani kununua nguo. Akirudi anawaambia watoto wanangu nimewaletea nguo za sikukuu njooni mjipime. Eee wanangu mmependeza sana. Si mnaona ninavyowapenda ee, ndio mama. Ukifika wakati wa ada unamkabidhi mama ada chumbani. Asubuhi akiamka wanangu naenda kuwalipia ada zenu za shule. Akirudi nimeshawalipia ada zenu ee, gari ya shule kesho itawapitia. Asante mama. Mtoto akikosa mama yeye hatoi adhabu anawaambia watoto ngoja baba yenu aje. Ukirudi unaelezwa unachukua bakora unaaaza kuchapa usijue ndio unazidi kuleta uhusiano mbaya na watoto. Ukifika uzeeni sasa watoto hawana kumbu kumbu yeyote nzuri kwako. Tuwe makini . mahitaji tukabidhi adharani. mama na watoto waone. Ushauri wa
bure."

Wanawake Mungu anawaona jamani
 
Heshima kwako mkuu. Ni ukweli usiopingika
 
Mimi huwa napanga na watoto na tunamalizana ingawa wamama huwa hilo hawalipendi (shauri zao wakafie mbele ya safari)
 
Matatizo mnayasababisha wenyewe nyinyi wanaume. Mradi mna nunua chakula na kulipa ada hamfahamu hata topic mtoto anayosoma shule wiki hii wala birthday.
Mama atajikusanya na pesa yake ndogo atanunua orange juice na biscuit atawaita wakina Juma na Jontua kwani na wao kila mwaka wana waalika wanao kwenye birthday zao. Hizi ndiyo kumbukumbu mtoto anazo kumbuka mpaka ukubwani.

Unasema uko busy na kazi unashindwa kwenda kwenye parent evening shuleni kwa mwanao. Ukistaafu ule ubusy wa kazini utauacha kazini mtoto ni sehemu ya maisha yako.
 
Mkuu kumbe ulipatwa na tatizo?

[emoji23][emoji23]
 
Mkuu kumbe ulipatwa na tatizo?

[emoji23][emoji23]
Kausha basi mwanangu huu Uzi tuuzike, zilikuwa lager kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kausha basi mwanangu huu Uzi tuuzike, zilikuwa lager kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poa ngoja niwe mpole maana sikawii kuufukua..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poa ngoja niwe mpole maana sikawii kuufukua..
Hili kaburi mkuu, zika kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe mbaya mjomba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…