ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
Inasikitisha kuona kijana wa Africa ana mawazo ya kitumwa kama haya. Africa ina safari ndefu sana ya kujikomboa kutoka makucha ya Wakoloni kwa mawazo kama haya.Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa raisi wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani kwa nguvu ili wenye Demokrasia watawale.
Mgogoro wa Museveni na Marekani utamuondoa madarakani kama Gaddaf au Saadam Hussein.
Raisi wa Afrika hana uwezo wa kupambana na mabeberu kwao anaonekana kama takataka halingani na mabeberu hata theluthi moja. Museveni kwenye macho ya mabeberu ni sawa na kuku hivyo basi atachapwa kama mtoto.
Kwa mtazamo huu wa vijana tusitarajie nchi za Africa kuendelea kulinda tamaduni za Waafrika na kuwa na misimamo yetu wenyewe. Poor generation, poor young perception ni heri kufa ukipigania kulinda heshima ya utu wa watu wako kuliko kudhalilishwa utu kwa kuwaogopa mabeberu. Kwani mabeberu ni Nini bwana.Point yangu kubwa sio LGBTQ ni ubishi wa Museven na Marekani, raisi wa Afrika huwezi kubishana na mabeberu watakupeleka ahera, huna nguvu ya kupambana na Mabeberu lazima raisi wa Afrika hilo uliweke akilini mwako
Ujikomboe kwa wakoloni kivipi wewe hujui kuwa dunia ni ya mabeberu? Unapokuwa chini kubali kweli upo chini nilini Africa itafikia uchumi wa Japan au China? Angalao basi iseme tunawaweza mabeberu? Kwa ufisadi wetu na uhujumu wa miundombinu ndio unatupa kiburi? Japan inatengeneza magari ninyi viwanda vyenu ni vya biskut na maji pamoja viberiti, je kwa sifa hizi tunathubutu kusema tunapambana na mabeberu? Hata treni ya umeme imetusinda wakati kwa mabeberu zilikuwepo tangu miaka ya tisini, wewe haya huyaoni? Au wewe ni kipofu?Inasikitisha kuona kijana wa Africa ana mawazo ya kitumwa kama haya. Africa ina safari ndefu sana ya kujikomboa kutoka makucha ya Wakoloni kwa mawazo kama haya.
Hiyo hati miliki ya hao Mabeberu kuimiliki Dunia waliipata wapi? Ni waraka upi unatamka hivyo? Jitambue Mkuu, Africa is a sleeping giant, once ikiamka hakuna Bara linaweza kushindana na AfricaUjikomboe kwa wakoloni kivipi wewe hujui kuwa dunia ni ya mabeberu? Unapokuwa chini kubali kweli upo chini nilini Africa itafikia uchumi wa Japan au China? Angalao basi iseme tunawaweza mabeberu? Kwa ufisadi wetu na uhujumu wa miundombinu ndio unatupa kiburi? Japan inatengeneza magari ninyi viwanda vyenu ni vya biskut na maji pamoja viberiti, je kwa sifa hizi tunathubutu kusema tunapambana na mabeberu? Hata treni ya umeme imetusinda wakati kwa mabeberu zilikuwepo tangu miaka ya tisini, wewe haya huyaoni? Au wewe ni kipofu?
Wewe unazungumzia Mambo ambayo huyaelewi....kama wewe ni shoga kaa mbali na Uganda..au njoo ubipu Uganda kama unaweza..wewe inaelekea akija mzungu akulazimishe akugeuze utakubali....huna maamuzi yako..Museveni aache kuingilia uhuru wa binadamu, binadamu ni mtu anayetaka kuishi kama atakavyo, huwezi kupambana na binadamu, Ushoga, Umalaya, Ulevi, Ufisadi na mengineyo yalikuwepo duniani kabla Yesu hajazaliwa alipokuja duniani akaanza kupambana navyo matokeo yake wakamtundika msalabani wala hawakumuogopa japokuwa alikuwa mwana wa Mungu, sasa Museveni nae watamtundika msalabani. Kama Yesu alishindwa yeye ni nani? Ushoga haujaanza leo na huwezi kupambana nao. Kabla hujapambana na ushoga au uovu mwingine nenda kamuulize Yesu walimfanyaje ndipo na wewe uanze kupambana
si rahisi kwa sababu hata marekani kuna mgogoro mkubwa sana kati ya lgbt na wasiyo lgbt. Na hicho kinaweza kikapunguza kura au kikamwondoa Joe biden ikulu maana anasupport ushoga.Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa raisi wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani kwa nguvu ili wenye Demokrasia watawale.
Mgogoro wa Museveni na Marekani utamuondoa madarakani kama Gaddaf au Saadam Hussein.
Raisi wa Afrika hana uwezo wa kupambana na mabeberu kwao anaonekana kama takataka halingani na mabeberu hata theluthi moja. Museveni kwenye macho ya mabeberu ni sawa na kuku hivyo basi atachapwa kama mtoto.
Onyo alilopewa na Shirika la haki za binadamu amekiuka kwahiyo ategemee malipo ya kiburi chake kama walivyolipwa watangulizi wake Gaddaf, Saadam Hussein, Idd Amin na Msukuma
Wa kuondolewa angekua Obama, kilichomtoa Trump ni kupinga LGBTQ nikwambie sasa.si rahisi kwa sababu hata marekani kuna mgogoro mkubwa sana kati ya lgbt na wasiyo lgbt. Na hicho kinaweza kikapunguza kura au kikamwondoa Joe biden ikulu maana anasupport ushoga.
Sadam huseni na gaddaf waliondolewa kwa sababu zingine kabisa si ushoga
Kwahiyo unataka kutuambia nini hapa....kwamba tukunje mikia yetu maana hatuna nguvu..na wanaume na watoto wetu wa kiume waje waolewe tu wakati sisi tunaangalia..???Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa raisi wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani kwa nguvu ili wenye Demokrasia watawale.
Mgogoro wa Museveni na Marekani utamuondoa madarakani kama Gaddaf au Saadam Hussein.
Raisi wa Afrika hana uwezo wa kupambana na mabeberu kwao anaonekana kama takataka halingani na mabeberu hata theluthi moja. Museveni kwenye macho ya mabeberu ni sawa na kuku hivyo basi atachapwa kama mtoto.
Onyo alilopewa na Shirika la haki za binadamu amekiuka kwahiyo ategemee malipo ya kiburi chake kama walivyolipwa watangulizi wake Gaddaf, Saadam Hussein, Idd Amin na Msukuma
Sio kweliWa kuondolewa angekua Obama, kilichomtoa Trump ni kupinga LGBTQ nikwambie sasa.
Hata hapendezi tena kutambulika kama Rais, hana siha nzuri, uzee mwingi na alivo hana damu ya nguo maskini, angepumzika tu Babu yetu.Siungi mkono ushoga! Lakini kama ataondoka mamlakani ni sawa kwa msimamo wake!,, Pia itakuwa wamebadili mfumo wa utawala wa Uganda! Imagine mi nimezaliwa, hadi Leo nimezaa huyu mzee anaitawala Uganda!
Kabala hujatengua mada yangu niambie je uchumi wa nchi yako unawafikia Wachina, wajapan ili basi upate nguvu ya kupambana na mabeberu? Nchi pekee yenye sifa ya kupambana na Mabeberu ni China, Japan angalao na hizi nchi za Uarabuni zinazomiliki mafutaHiyo hati miliki ya hao Mabeberu kuimiliki Dunia waliipata wapi? Ni waraka upi unatamka hivyo? Jitambue Mkuu, Africa is a sleeping giant, once ikiamka hakuna Bara linaweza kushindana na Africa
yanayoendelea marekani kwa sasa ni tofauti sana, jamii imeshtuka...hata weusi wameshashtuka huyo Obama alikuwa rais mshereheshaji tu. hakuwasaidia lolote. Wait and see.....Wa kuondolewa angekua Obama, kilichomtoa Trump ni kupinga LGBTQ nikwambie sasa.
Yanayoendelea Marekani sio sababu ya LGBTQ ni hayo mavita yao yasiyoisha na sababu za kiuchumi,yanayoendelea marekani kwa sasa ni tofauti sana, jamii imeshtuka...hata weusi wameshashtuka huyo Obama alikuwa rais mshereheshaji tu. hakuwasaidia lolote. Wait and see.....
eti nyie huko mavumbini....... acha utumwa wa akili wewe, wewe huko uliko una nini cha maana kuliko unaosema wako mavumbini.Yanayoendelea Marekani sio sababu ya LGBTQ ni hayo mavita yao yasiyoisha na sababu za kiuchumi,
Hao Lgbtq wana wingi gani hadi wawe....
Sentensi zako zinajichanganya sana............Siungi mkono ushoga! Lakini kama ataondoka mamlakani ni sawa kwa msimamo wake!,, Pia itakuwa wamebadili mfumo wa utawala wa Uganda! Imagine mi nimezaliwa, hadi Leo nimezaa huyu mzee anaitawala Uganda!
Kama hadi leo Umeme, Maji, Afya, Elimu, Miundombinu, Teknolojia, vyote huna na unategemea kwao misaada hadi ya chandarua wewe ni wa mavumbini yaan tabaka la mwisho, kama ni treni upo daraja la tatu, inauma ila ndio ukweli mchungu huo.haya.....eti tulio mavumbini. acha utumwa wa akili wewe.
Museveni hana mgogoro na Merekani, Museveni ana mgogoro na mashoga.Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ...
Kiburi kitatumaliza Waafrika ninyi mashahidi Diamond Platnumz kamnyanyua Harmonize tu tayari kamemtunia misuli eti kanapambana nae haya ndiyo yanayofanyika kwa maraisi wa Afrika na MabeberuKama hadi leo Umeme, Maji, Afya, Elimu, Miundombinu, Teknolojia, vyote huna na unategemea kwao misaada hadi ya chandarua wewe ni wa mavumbini yaan tabaka la mwisho, kama ni treni upo daraja la tatu, inauma ila ndio ukweli mchungu huo.
Nchi inataka maraisi wenye busara kama Mzee Nyerere, Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete, Mwinyi wa Zanzibar, Samia na sio maraisi wenye kiburiHapa patam acha tuone. naona USA wataacha kuleta dawa za UKIMWI hlf wasikilizie yajayo.
maana apo ndo ilipo nguvu yao wakileta izo dawa na vile vilainishi vinapenyeshwa umoumo.
Kelele za maafa za wanazengo uko kitaa na presha ya siasa lazma zimrudishe M7 mezani. ni ngumu sana kuwa huru ukiwa masikini.