Acha kututisha wewe!!!...Na wewe fanya wema, upendo,ukarimu,...KIFO kipo palepale...kifo ni asili (Nature) kwa wote wema,wabaya,wajeuri,wakarimu, maskini ,matajiri hivyo tusitishane mzee...!!![emoji23][emoji23]Fanya ujeuri, ubabe, ukorofi, ukatili, ukandamizaji, uonevu, dhuluma, wizi, ushirikina, uzinifu, ukahaba, majivuno, majigambo, dharau, kujiona bora, kujivuna n.k n.k Kumbuka kiboko ya yote hayo ni Kifo.
Acha mawazo mgando ya kimaskini wewe tafuta hela [emoji23]Hakuna atakayezikwa na hela.