Mwisho wa Dunia!!!

Hakuna ajuaye mwisho wa dunia, ndio maana hata Yesu alisema atarudi. Lakini had leo hajarudi, ila ni tegemeo letu sisi tunaomwamini kuwa ipo siku atarudi.

Mkuu hayo yote tunayatambua..... Pia kumbuka uko forum gani!!!!!!!!!
 
hapo kumbuka ni verified user......

Madame FP me naomba nimtetee, kwa wakristo e.i. wasabato ukihama toka uislam kwenda usabato huwa hakuna ulazima wa kubadili jina.....

Mf. kuna mkaka alisoma shule ya kisabato, baba yake ni muislamu mama yake ni msabato lakini anaitwa Idd Mohamed hakubadili jina lake wakati anabatizwa. Mpaka hivi leo anasoma Chuo kikuu cha Kisabato Uganda na anaendelea na jina lake.

Pia kuna Pastor mmoja wa kisabato anaitwa Pastor Juma.... So kwa Wasabato huwa hakuna ulazima wa kubadili jina......
 
Last edited by a moderator:
Eti tar 21 Dec ni mwisho wa dunia, sijui walikua hawajui kuwa siku hiyo yesu hatakuwa amezaliwa bado? Maana bwana wa unyakuo kazaliwa tar 25, na tar 21 huanza kabla ya tar 25! Sasa sijui tungenyakuliwa na nguvu ya usumaku lol!!
 
Umenichekesha teh teh teh Shigongo kauza sana magazeti kuhusiana na hii issue sasa watasema tarehe 01/01/2013 ni mwisho wa dunia. Halafu kuna mwingine kule kasema eti Safaricom, Vodacom,, Vodaphone na Mitsubish motors ni Kampuni za Mashetani teh teh teh this is very crazy. Mie nina Mitsubishi yangu sasa niitupe mmmh teh teh teh.TUTASIKIA MENGI kila mtu anakuja na lake. Eti cartoon zimetengezwa na private parts za Ke na Me how? Kweli tom and jery wanafanana na hayo makitu duh! Uongo mwingine aibu
 
Eti tar 21 Dec ni mwisho wa dunia, sijui walikua hawajui kuwa siku hiyo yesu hatakuwa amezaliwa bado? Maana bwana wa unyakuo kazaliwa tar 25, na tar 21 huanza kabla ya tar 25! Sasa sijui tungenyakuliwa na nguvu ya usumaku lol!!

Teh teh teh Kunyakuliwa si utamua sasa, Yaani kunyakuliwa si sawa na kukwapuliwa teh teh teh.......!:israel:
 
Ningefia JF wakati huo nlikuwa nafuatilia thread ya masalia mle jukwaa la siasa
 
Eti tar 21 Dec ni mwisho wa dunia, sijui walikua hawajui kuwa siku hiyo yesu hatakuwa amezaliwa bado? Maana bwana wa unyakuo kazaliwa tar 25, na tar 21 huanza kabla ya tar 25! Sasa sijui tungenyakuliwa na nguvu ya usumaku lol!!

Hahahaaaaaaa......
 

FYI.... Hata internet ni filimason... check hii "w=6, w=6, w=6" 666..... Teh teh teh..... kama ni hivo basi wengi tu filimason make kila mtu saiv anatumia internet!!!!!!!!!
 
Ningefia JF wakati huo nlikuwa nafuatilia thread ya masalia mle jukwaa la siasa

Mhmhmh.... wewe angalia na kwelii ukajafia siasani, umeona wenzio wanapelekwa hadi kwa waganga shaurilo!!!!!!!!!
 
Lakini siku si haijesha bado, tuendelee kusikilizia sauti ya parapanda! Au mwisho huu walisema ni wa aina gani tunayeyuka au tunafukiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…