CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ngoja kwanza nimalizie "kumgegedua" mamsapu wangu kisha ntarudi baadae kidogo lol.
Hahaaaa Husninyo kumbe tungekuwa pamoja, make mie mida hiyo nilikuwa humu jf!!!
Ngoja kwanza nimalizie "kumgegedua" mamsapu wangu kisha ntarudi baadae kidogo lol.
mie' mda huo nilikua barabara ya kuelekea kwa kanisa
Kwi kwi kwi....Ndio tatizo letu la kujudge bila utafiti..ismail juma na kanisa!!? Au ndo zile id zetu za kuzugia!!?
hapo kumbuka ni verified user......ismail juma na kanisa!!? Au ndo zile id zetu za kuzugia!!?
Umenstua jamen.......
Kidogo niangushe hii chupa ya smirnof!!!!!!!!
Mi huo mwisho ungenikuta darasani,ndio nafika Home toka shule mida hii....
Mie' mda huo nilikua barabara ya kuelekea kwa kanisa
Heheee charminglady mi nilishalala long time ila wengine walikuwa wanamwaga taka