Mwisho wa Dunia ndio huu

Haya yote yalishatabiriwa...soma Biblia Warumi 1:26-36 (maeneo hayo kuna kila kitu) kwamba malipo yao wameshayapata, yamewatangulia...na wanaume pia wanaofanya hivyo- Lesbianism and Homosexual (sodomism).

GOD Forbid!!!!
 
Safarini Dar kwenda Dubai,
Nilimhoji mdada mmoja wa Kitanzania,
tulikaa siti za karibu,
Kuhusu wanawake,
mabusu na kusagana,
Aliniambia,
mkeo akibusiwa au akisagwa
na hawa wadada,
anaomba talaka,
eti ni kunoga ile mbaya.
niliogopa.
Kweli mtu unaanzaje anzaje uwe na feelings na same sex...huu mtihani, sijui hormone and blah blah hii science ya same sex thing sijaifahamu bado.
 
Mwisho wa dunia bado sana. Hii ni matokeo ya maadili mabovu. Tumeacha mila na desturi zetu kwa kuiga tamaduni tunazodhani ni bora kuliko za kwetu. Tumeacha kuwapa watoto wetu mafunzo na maadili ya kwetu na kuwaacha waige kila aina ya tabia ipitayo mbele yao. Tumeshindwa hata kuvitumia vitabu vya dini tunazoabudu ambazo zingetupeleka mbali na kuiga maovu.

Umefika muda wa kuvuna mabaya tuliyopanda kwa kutojali maadili yetu.
 
Back
Top Bottom