Mwisho wa Dunia ndio huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwisho wa Dunia ndio huu

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jul 17, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 5. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 833
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 80
  duh! Laana iwashukie hawa!
   
 6. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,294
  Likes Received: 8,393
  Trophy Points: 280
  hii lazima itakuwa imechukuliwa ktk viunga vya magomeni,k/koo au ilala.
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hivi ule utaratibu wa kuwatia bakora wanaofanya haya hadharani uliishia wapi?
   
 8. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo ndizo zitakuwa kuni ile siku ya mwisho.
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama hayo yangelitufikisha mwisho leo hii, tusingesoma ya akina Sodoma na Gomorrah!!
   
 10. L

  Lekausia Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh mbona kama wasanii jamani? Eee mwenyezi Mungu 2epushie hili.
   
 11. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hizi picha hazikutakiwa kuwa hapa sebuleni....:director:
   
 12. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Yule mwana mpotevu,
  kama unakumbuka stori katika Biblia,
  alikutana na vimbwanga vya namna hii na zaidi,
  Kuchacha lilikuwa ,
  jambo la lazima.

  Unaambiwa weka dau chini ufanyiwe,
  kila aina ya sokomoko,
  matamanio ya kujamiiana,
  ni asili ya maumbile yetu sote,
  na ndipo udhaifu wetu ulipo.

  Ili mradi tumeruhusu ku import,
  kila ina ya bidhaa na huduma,
  kutoka pembe zote za dunia,
  tuajiandae kiakili,
  kukabiriana na zaidi ya haya.

  Usagaji si jambo geni,
  nchini Tanzania.
  Wasagaji wapo Tanzania,
  Kwa sababu asili yake ni Arabuni.

  Waarabu ndiyo wenye siri zote,
  za namna ya kusagana.
  Zanzibar na lamu Kenya,
  ndo HQ za kusagana,
  miji yake midogo,
  Ni Dar na Tanga.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Wanafanya hivyo kutokana na Hakuna Wanaume wa kuwafanya nanihii si unajuwa vijana wengi siku hizi ni mashoga?
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kweli mtu unaanzaje anzaje uwe na feelings na same sex...huu mtihani, sijui hormone and blah blah hii science ya same sex thing sijaifahamu bado.
   
 15. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mmmmh naona wadau wake busy kuchua tukio la mkao wa KAA TAYARI MKWAJU WAJA hapo!
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  maendeleo tu hayo wakuu, mwisho wadunia hauji dizaini hizo bana!
   
 17. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Sio Jini Kabula huyo wakubwa, au ni mboni zangu!
   
 18. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wanaume tumeshindwa kutimiza majukumu yetu, tunaringa sana na nanihiii zetu, sasa wenzetu wameanza wao kwa wao.
   
 19. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Jamani napita tu
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Watu wangebadilisha maumbile hakika ingekuwa tabu tupu!

  Ingekuwa ni kukomoana!

  Kazi kweli ipo!
   
Loading...