The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,129
- 117,950
Sasa ingekua kila mtu ana uwezo wa kuprint pesa zake kwa kadri ya mahitaji yake unadhani haya maisha yatakua hivi kama yalivyo sasa?!Nikadhani ni technology ya kila mtu kuweza kuprint pesa zake kwa mashine maalum kadri ya mahitaji,,,,, ila napita tu
Nani atalima mashambani ili wewe upate chakula?! Nani atahangaika kukutibu wewe hospitali wakati kila mtu ana pesa nyingi na hataki kazi?
Nani atakutengenezea gari lako gereji? Nani atakufundisha shuleni? Nani atasafisha barabara? Nani atakulinda wewe na familia yako? Nani atajitesa kulinda usiku kucha? Kuna mifano mingi sana ya kukupa ila wacha niishie hapa.