Mwisho wa Dunia ndio huu hapa (Amazing technology)

Ingia ktk hii link hapo chini kisha click any green dot ktk globe utaweza kufungua FM radio ya nchi yoyote ile duniani hapa.je hii ni mwisho wa dunia ama ni nini ?
Just point your finger in any of these green dots in the globe ... You can hear the FM radio of that place

*AMAZING TECHNOLOGY*

Radio Garden
Ni kweli ila sio aseee mie nakula bolingo kutoka Radio Ndeka Luka kutoka Bangui, Central African Republic
 
Hii kali aisee Kwa tz ni dar peke yake, na redio ni mbili tu zinapatkana, clouds na twiga Radio. Kweli clouds wanatisha
 
Ingia ktk hii link hapo chini kisha click any green dot ktk globe utaweza kufungua FM radio ya nchi yoyote ile duniani hapa.je hii ni mwisho wa dunia ama ni nini ?
Just point your finger in any of these green dots in the globe ... You can hear the FM radio of that place

*AMAZING TECHNOLOGY*

Radio Garden
Nzurii aiseee
 
Dah! Nkisiliza najiona kama npo nchi husika, ule msemo wa kufanya dunia kama kijiji naona unatimia
 
Back
Top Bottom