Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,887
- 7,033
Siyo mtaalamu lakini naamini kutofunguka ni suala ambalo ni occasional tu na baadae ufunguka kama kawaida.Mbona mimi application imekataa kufunguka mkuu!!
Siyo mtaalamu lakini naamini kutofunguka ni suala ambalo ni occasional tu na baadae ufunguka kama kawaida.Mbona mimi application imekataa kufunguka mkuu!!
Dah mkuu hebu tuandikie hyo link kabisa maana nmeipenda kiukweli
Mkuu sikilza redio maxima, chile wana tangaza mpiraNi kweli kabisa kwani mm hapa nimeisikiliza clouds FM live![]()
Mmmh noumaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu sikilza redio maxima, chile wana tangaza mpira
Mechi ni kali kweli kweli
[emoji1]