Mangi mtata
Member
- Dec 26, 2016
- 76
- 87
This is ril AMAZING
HaifungukiIngia ktk hii link hapo chini kisha click any green dot ktk globe utaweza kufungua FM radio ya nchi yoyote ile duniani hapa.je hii ni mwisho wa dunia ama ni nini ?
Just point your finger in any of these green dots in the globe ... You can hear the FM radio of that place
*AMAZING TECHNOLOGY*
Radio Garden
Sasa Mwisho wa dunia Kivipi ? Kisa Technology hii Ni Mpya Kwako....Ingia ktk hii link hapo chini kisha click any green dot ktk globe utaweza kufungua FM radio ya nchi yoyote ile duniani hapa.je hii ni mwisho wa dunia ama ni nini ?
Just point your finger in any of these green dots in the globe ... You can hear the FM radio of that place
*AMAZING TECHNOLOGY*
Radio Garden
Sio nzuri kama Tunein radio. Tune in radio ina radio station za tanzania kibao na za nje pia nyingi sana tofauti na hii green unapata chanel chache sana kwa Tz ni clouds na twiga radio pekee. Kwenye Tune in unaweza kusachi aina ya muziki unaopenda mfano Hip hop kisha wataku listia radio stations zinazopiga hip hop tu hivyo utachagua uipendayo.Aiseh!!! Hii ni best ever
Point is kukua kwa technologies kwa kiwango kikubwa nayo ni dalili yawisho wa duniaHaya ni maajabu, hivi sasa nakula muziki wa sijui wa type gani kutoka Bogota Fm Radio ya Colombia.
Lakini tusidanganyane hii haiwezi kuwa ndiyo dalili ya mwisho wa dunia.
Hiyo tune in radio inapatikana vipi?Sio nzuri kama Tunein radio. Tune in radio ina radio station za tanzania kibao na za nje pia nyingi sana tofauti na hii green unapata chanel chache sana kwa Tz ni clouds na twiga radio pekee. Kwenye Tune in unaweza kusachi aina ya muziki unaopenda mfano Hip hop kisha wataku listia radio stations zinazopiga hip hop tu hivyo utachagua uipendayo.
Hiyo tune in radio inapatikana vipi?
Avata yako na ulichokiandika haviendani mkuuUpuuzi mtupu