Mwisho wa Daudi Ballali


CCM ni chaguo la Mungu.
 
Mwanzoni hata alipozikwa mlikuwa hamjui...sasa mwandishi na kampuni yake kafanya utafiti wake na bado mnamdharau.

Nani alikua akijua Balali alizikwa wapi?? tuache dharau
 

Kama vile Zitto, Sitta, Lissu &Co!
 

Nina mashaka hiyo Picha ilipigwa marekani maana wamarekani wanatunza sana bustani zao hasa sehemu kama hizo za Makaburi. huwezi kuta viraka vya majani kwenye bustani zinazotunzwa.
 
hv nyie serkali kitendo mnachokifanya kwa watz Si kizuri,Mungu atakwenda waumbua mchana kweupe,mambo ya kifo sio ya kuchezea.na mambo ya mwenyezi mungu,dhoruba litakumba serikali kwa kufanya mambo yanayokiuka utu,
 
Chacha Wangwe aliuawa kwa sababu ya kutaka kuwasilisha hoja binafsi bungeni juu ya uwepo wa Daud Balalli kwani alikuwa na ushahidi lakini kwa kuondoa soo wahusika wakafanya juu chini na kumuondoa duniani na kuchukua document zote. na leo hii wamekuja na kihoja kingine cha kujenga kabuli na kupiga picha na huyu mwandishi alipelekwa na gharama kutoka kwa nani? na je kwa nini imekuwa hivi sasa na sio wakati wa mazishi yake? huu ni UPUUZI usiovumilika.
 
Uongo huu waambie watoto wako..technolojia gani inapiga mtu picha akiwa kaburini?acha mahekaya ya abunuwasi hayo

we Kigogo (sio lugha bali cha mti) jaribu kupitia forensic anthropology kuna subsurface radar ambapo baadae hutengenezwa 2D na 3D maps. Sema gharama (if at all it pays) na kupata kibali cha kufanya kazi hiyo (from the ethical point of view).
 

Asante kwa mchango wako!

Kwa kuongezea, Hii issue imekomaliwa na gazeti la mwanachi mwandishi akiwa ni Nevile Meena pamoja na gazeti la Mtanzania.

Kituko! Gazeti la Mtanzania liliandika Balali alijulishwa kuwa angefariki baada ya mwezi mmoja; kesho yake gazeti la mwananchi likaripoti eti angefariki ndani ya wiki 2 tangu apatiwe vipimo!

Haya magazeti mawili watueleze walienda Marekani kwa ufadhili wa nani?
 
kaburi lenyewe mbona limekaa kisanii sana? Yaani lipo peke yake limejitenga kiukweli sijaelewa kabisa hii sinema haina mvuto.
 
Yaani mwandishi anasafiri kutoka hapa mpaka marekani anepiga picha inaonyesha kaburi mojatu ?
hapo hakuna makaburi mengine ? mbona hatuyaoni ?

kunasiku Balali atakufa kweli alafu mtatueleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…