Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,063
- 43,492
Nijuavyo nokia hawajawahi kui dump symbian os,hata kwenye hz nokia asha series si wametumia symbian os.???
Hata hivo hii os imekaa kizaman na inafaa kwa vsmu vdogo hvohbo
hapana asha ni nyengine na symbian ni nyengine. kwa s60v3 ambayo ni symbian zisizo za touch simu za mwisho ni c5 na e5 zilitoka mwaka 2010 baada ya hapo hakukutoka tena symbian za aina hio (kuna remake ya c5 ya 2011).
kwa symbian touch simu ya mwisho ni nokia 808 ambayo imetoka 2012, hadi leo hakuna simu ambayo imekuwa matured kama hii.
symbian iliuliwa na ceo wa kimarekani asiekua na taste ya simu.