Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Kijiji cha Nokia nadhani ndio kijiji maarufu kuliko vijiji vingi Uholanzi. Kwa heri nokia
kwani hawa microsoft waliinunua nokia kwa mkataba wa miaka mingapi!?
mwakani mwezi wa 12 nokia anaruhusiwa kutoa simu mpya. imebaki miez 13 tu.
Microoft wamenunua shughuli za Nokia na kumfanya Nokia aachane na shughuli alizouza kwa jina lilelile. Microsoft wanabadili jina la bidhaa ambayo kuwapo kwake lilikuwa linamtangaza Nokia. Huoni anaondoa jina la nokia masikioni mwa watu na ndio kifo cha asiyesikika?
wamba micosoft wamennua fctions Fulani zaNokia ili wazite kweny biashra zao nakumfanya Nokia afny shughulizngi kaha hiz alizoa; kishaMicrooft wanfut atumizi yamanunuzi yake ilali Noki hfanyi tena. Huoni ndiomwzo wa mwiso waNOia?
Mkuu sijakuelewa vizuri, nadhani keyboard yako ina matatizo kidogo!
CYBERTEQ usiwe unauliza maswali wenzio huku unachezechezea bastola,ona sasa ulivyomfanya zaleo!wamba micosoft wamennua fctions Fulani zaNokia ili wazite kweny biashra zao nakumfanya Nokia afny shughulizngi kaha hiz alizoa; kishaMicrooft wanfut atumizi yamanunuzi yake ilali Noki hfanyi tena. Huoni ndiomwzo wa mwiso waNOia?
Huwezi kujua mkuu, makampuni makubwa hufanya utafiti kabla ya kuchukuwa hatua kama waliyoifanya, hata kama ni charity kwa kuwa entrepreneur yeyote anaangalia faida kwanza na hukwepa hasara yatokanayo na uamuzi wowote kibiashara.Nokia hakuwa threat yoyote ya maana kwa MS!!
Kweli kuu, ingawa sijaelewa hiyo bunduki ni ya aina gani, key board yangu ina kiherehere sana.CYBERTEQ usiwe unauliza maswali wenzio huku unachezechezea bastola,ona sasa ulivyomfanya zaleo!
Ha!Ha! angalia leo usijaribu kuchat na mkweo!unaweza kuzua ukakasi kifikra!Kweli kuu, ingawa sijaelewa hiyo bunduki ni ya aina gani, key board yangu ina kiherehere sana.
Hii yangu nokia 5310 xpress music ntaiweka kama kumbukumbu....tutazoea tu.
Ha!Ha! angalia leo usijaribu kuchat na mkweo!unaweza kuzua ukakasi kifikra!
Mkuu sijakuelewa vizuri, nadhani keyboard yako ina matatizo kidogo!
Complicator nini ambacho hujaelewa ?....simu zenye WINDOW v/s zenye ANDROID ..haya mzogoaji nini kingine huélewi?