Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,723
mwakani mwezi wa 12 nokia anaruhusiwa kutoa simu mpya. imebaki miez 13 tu.
na akianza kutoa simu mpya ningependekeza watoe kwa jina Lao tulilozoea yaani Nokia na ziwe zinatumia Meego maana hii os Ni noma