Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Mwili unao lakini unakonda kwa roho mbaya yako. Wema huna huna hata ihsani pia!!!! Usiwe mchoyo wa kukumbuka fadhira. Waulize walokuzidi umri mzee mwinyi alipewa nchi kutoka kwa mchonga ikiwa katika hali gani.
Marais walioangushwa na wake zao ni mkapa na mwinyi.walikuwa wanaongoza nchi wakiwa vifuani.nyerere alikuwa imara kutenganisha ndoa yake na urais.kikwete ni dhaifu kuliko wote watatu amemfanya mkewe kuwa makamu wa pili wa rais.amenunuliwa na wafanyabiashara wezi.amewekwa mfukoni.hapo maswala ya dini hayapo na sitaki kuyasikia tena na mkomena mkomae.hakuna dini inayoweza kutuhakikishia kwamba muumini wake ni lazima awe kiongozi mzuri.kuanzia sasa naomba yeyote atakayeleta mada zenye muelekeo wa kidini lazima zifute haraka. Tz ni yetu sote.
Uswahili umekujaa mpaka makalioni....sera za soko huria ni wazo la SOKOINE na Mwalimu alianza kulitekeleza 1984 BAADA ya kufa Sokoine kwa kufungua mpaka na Kenya...kama ulikuwa hujazaliwa...huyo Mwinyi alikuta 1985 tayari mambo yemekamilika...aliingia madarakani noti ya Juu 100 akatoka noto ya juu 10,000.....Mkapa aliikuta hiyo ya 10,000 na akaondoka iko hiyohiyo....huyu mkwere kama atalazimisha kurudi ataacha na noti ya 1,000,000
kwa ukweli tumshukuru mungu Tanzania tumejaaliwa na hazina ya viongozi bora na wenye wisdom ila tuongeze juhudi kwenye uchumi ili tuwe na maisha bora
One of Stupidiest and over-exaggerated statementsTanzania ya leo ni bora mara trillions compare ya wakati wa Nyerere.
Angalau nimeona umefanya uongo wa kimantiki mara mbili. Kuwalaumu wake za marais na gender inequality are not logically connected. Wake wa marais kuwa corrupt hakuna uhusiano wa kimantiki na wanawake kushindwa kuongoza....(Logical fallacy - appealing to pity)Unatumia gender inequality kublame Mke wa Mwinyi na Mke wa Mkapa....... Kusema wake wa marais (JK, Mwinyi, Mkapa)ni Corrupt, ni kuonyesha kwamba Wanawake hawafai kuwa viongozi. Wake up Mr.
Angalau nimeona umefanya uongo wa kimantiki mara mbili. Kuwalaumu wake za marais na gender inequality are not logically connected. Wake wa marais kuwa corrupt hakuna uhusiano wa kimantiki na wanawake kushindwa kuongoza....(Logical fallacy - appealing to pity)
Gender inequality is normal way of life that is male is not equal to female and female not equal to male. They are NOT equal they are different.
Matatizo ambayo tunayo sasa ya Ufisadi na ambayo yanaonekana ya Udini yalianza wakati wa Utawala wa Mzee Ruksa... we did not make any changes after his term. Hii ni kwasababu alishaanzisha makundi ndani ya CCM ambayo kwa hali na mali, mtu wake aliyemchagua kuwa Rais Jakaya Kikwete ifanikiwe... Tutamkumbuka sana huyu Mzee kwa kuwa mtu aliyeneemesha kuvunjika kwa Tanzania... na Utangayika ... mfano aliondoa JKT kwa wasomi Mtoto wa Mwinyi hakuenda JKT kwahiyo asingekuwa Mbunge na hata Waziri, Mbunge wa Nzega asinge weza kuwa mbunge sababu hakuenda JKT so tungekuwa Imara sana mali zetu tungezilinda
TUMEMALIZIKA
Sasa we ulitaka Tanzania ya leo iwe sawa na ile ya Mwalimu,...unashangaza sana Mkuu.Kwani hukubali kusema ukweli. Tanzania ya leo ni bora mara trillions compare ya wakati wa Nyerere. Umesahau unga wa Yanga? Umesahau Foleni ya kununua mafuta? Sema ukweli Mr.
Akafungua madirisha ili tupate hewa safi lakini nzi nao wakepenya pia!
Kwani hukubali kusema ukweli. Tanzania ya leo ni bora mara trillions compare ya wakati wa Nyerere. Umesahau unga wa Yanga? Umesahau Foleni ya kununua mafuta? Sema ukweli Mr.
Nonsense kwa mtu yoyote kupitia JKT. Hiyo ndiyo moja ya sera ambayo ilikuwa haina manufaa yoyote kwa Mtanzania. This is one of the reason that I say thank to Alhaj Ally Hassan Mwinyi.
exactly! He was a visionary leader the nation had never experienced before. Nyerere alileta ukatoliki wake na kumrithisha mwanae mpendwa mkapa. Jk anajaribu kufuata nyayo za mwinyi ingawa bado hajafanikiwa kuvivaa viatu vya mwinyi vema. Marais bora nchini kwetu ni mwinyi, jk, mkapa na wa mwisho ni nyerere