Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Mwinyi na Michael Jackson
Na vitambaa vilitandikwa vizuri kwenye viti, sijui hiyo kazi ilifanywaga na fist lady wa wakati huo!
Hivi Mikaili Jakson alikuja kufanya nini kipindi hicho.
Nakumbuka alifikia Kilimanjaro hotel....nakumbuka alikuwa anaziba pua kwa sababu ya harufu.
Sasa hapo alipokaa na mzee wetu bila shaka chumba kilipigwa marashi ya kufa mtu..
Style ya kuweka vitambaa kwenye makochi ilikuwa ndo fashion miaka hiyo
kwa jinsi udi unavyo nuka vibaya......
sipati picha
mkuu Bujibuji kuna wenyewe wa hiyo makitu, bila kusikia harufu ya huo udi juma mgunda hanyanyuki!! chezeiya mafukizo na manuio wewe????
ukiangalia hii picha haraka haraka ni kama nyingine zozote lakini ukianza kudadisi juu ya 'how', 'where', 'when', 'what' yaweza kuishia kukupa picha ambayo hakuna Mtz yeyote anayependa kuisikia.
Na vitambaa vilitandikwa vizuri kwenye viti, sijui hiyo kazi ilifanywaga na fist lady wa wakati huo!