na hapo mkuu kuna zile 'protocali' za kulaunch conversations, sijui anaanza kwa kuambaia 'hawa yuu' ...... kazi kweli kweli itakuwa ilikuwauna akili saana kijana!! nimetazama kwa jicho la tatu pozi zao na jinsi mr.prezidentee alivokua na bashasha usoni..
kwani mnaongelea nini tena?jamani, kumbe hii ni laana ya kurithi, sijui tufanyeje ili kuitokomeza
na hapo mkuu kuna zile 'protocali' za kulaunch conversations, sijui anaanza kwa kuambaia 'hawa yuu' ...... kazi kweli kweli itakuwa ilikuwa