okonkwo jr
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 2,419
- 1,739
Mwinyi sio rais wa awamu ya tatu mkuu,ni awamu ya pili(1985-1995)
Manake ugonjwa ule umewekwa sehemu ambayo kila mtu aipenda. Sukari imeingia sumu. I wish him long life Mzee Mwinyi.
Hukupaswa kumwelekeza mtu kwa karipio la namna hii,mwambie taratibu tu atakuelewa mku,wengi hatujui maana ya ziada ya neno urodaHuu ulioandika unaasilimia kubwa sana kuingia kwenye ukilaza.
Hujui maana ya Uroda???? au akili iko kwenye mapenzi zaidi.
Sasa Mwinyi angepanda mwendo kasi gani kwa miaka kumi iliyopita (alivyokuwa rais)wakati mwendo kasi tanzania imeanza mwaka huu.
Kusema mwendo kasi ni Uroda hajalinganisha na ndege/vogue, au uelewa umeubinafsisha mkuu.
Yeye kasema hayo mabasi kwake ni Uroda, Unataka nani athibitishe kitu ambacho muhusika amesha kifafanua.
Acha hizo, jaribu kujifikilia kabla haujaandika.
Umeona eeh. Dah itabidi ( mimi) kwenda DSM kupata uroda kwa kweli!Hahahaaaa mzee Mwinyi bana.....huwa anapenda kutumia maneno yenye utata utata.
Inaonekana hujawahi kupanda basi la mwendokasi ndio maana unaona kuna uwezekano wa watu kupenya dirishani.Huu mradi ndio unaanza kuelekea mbagala. Ila pande zile, subiri uanze. Maana njia ile madirisha ndio mlango.
kweli isee![]()
![]()
maoni yangu
Serikali inahitaji pongezi katika hili la mabasi ya mwendo kasi, limeondoa usumbufu mkubwa kwa wananchi
hv wale wa mbagala wataacha kupitia madirishani kweliHuu mradi ndio unaanza kuelekea mbagala. Ila pande zile, subiri uanze. Maana njia ile madirisha ndio mlango.
mkuu hapa jamaa anamzungumzia rais mstaafu, na Rais wa sasa. Hata kama wanamapungufu tunawasema tunakosoa lakini sio katika vitu visivyo na mantiki. Bila kukemea hii tabia itaturudisha nyuma.Hukupaswa kumwelekeza mtu kwa karipio la namna hii,mwambie taratibu tu atakuelewa mku,wengi hatujui maana ya ziada ya neno uroda
watu wa mbagala,gongo la mboto vipi,usumbufu umeondoka??
Makubwa haya