Mwinyi: Mabasi ya mwendo kasi ni ureda (uroda)

Mwinyi: Mabasi ya mwendo kasi ni ureda (uroda)

Majina ya maeneo ya znz. Mchambawima, kijitoupele nk. Duh wazee wa pwani na visiwani na tungo tata za kiswahili!
 
Jamanieeeeeeeh, kwani neno uroda lina ubaya gani jamani?? Kwa Kiswahili sanifu uroda maana yake ni raha au starehe... Sasa mzee ruksa ana kosa gani?
 
watu wa mbagala,gongo la mboto vipi,usumbufu umeondoka??
Tegeta, Mwenge kote huko kunahitaji mwendokasi. Hapo ndio tutaweza kusems huu mradi umesaidia. Kws saa bado sana. Jiji linapsswa lote liunganishwe na haya mabasi hii route moja tu ya Kimara-Morocco,-Gerezani-Kivukoni ni kipisi kidogo sana! By the way awamu ya pili ya huu mradi inaanza lini?
 
Dah,hebu wataalam wa kiswahili wanipe maana zaidi ya neno uroda FaizaFoxy

Unataka mtaalam zaidi ya Mzee mwinyi? Ni dirty mind Tu. Ni sawa Na wakati ule wa kutaja wasifu WA mgombea huko zenji ingekuwa nyie msharusha mateke.

Amani katiwa dole skuli - Amani alipelekwa kusoma shule ya dole huko unguja.

Hii ndio raha ya Kiswahili kwa wanaokijua.
 
Tegeta, Mwenge kote huko kunahitaji mwendokasi. Hapo ndio tutaweza kusems huu mradi umesaidia. Kws saa bado sana. Jiji linapsswa lote liunganishwe na haya mabasi hii route moja tu ya Kimara-Morocco,-Gerezani-Kivukoni ni kipisi kidogo sana! By the way awamu ya pili ya huu mradi inaanza lini?
Hadi zitokee taasisi kama world bank, imf au benki kubwa za dunia. Mikopo mikubwa toka taasisi kama hizo ndio itawezesha mradi huu kupanuliwa. Otherwise serikali haiwezi kwa nguvu binafsi.
 
Kwa wanaoishi Dar es Salaam, kwani hayo mabasi yanahudumia aslilimia ngapi ya mji mpaka yaonekana ndio suluhisho la matatizo yote ya usafiri!?
Lakini pia tukumbushane kuwa Mzee Mwinyi alipoingia madarakani aliikuta UDA tema ikiwa imara sana na hata IKARUSI walikuwa nazo na likafia mikonono mwake, jifunze kitu hapo na sio hizi kejeli kwa wanyonge.
 
Magazeti bana, kuna kipindi yalikuwa yanadai mama Sitti kasepa!
 
Anafananisha na uroda gani?
Mimi nimesikia kwenye magazeti asubuhi et "mabasi ya mwendo kasi ni uroda" nikashindwa mzee alimaanisha nini ila nikajipa matumaini kuwa mimi si mtaalam wa kiswahili kumbe mzee katuacha njia panda wengi kwa msamiati wake.
Mimi nimezoea kusikia "...wanaswa laivu wakilana uroda..." kwa maana ya kubanjuka sasa hapa mzee nae labda alimaanisha utamu wa kupanda msbasi ya mwendo kasi ni utamu mtupu mithiri ya kubanjuka chezea mzee wa ruksa weweee!
 
Tegeta, Mwenge kote huko kunahitaji mwendokasi. Hapo ndio tutaweza kusems huu mradi umesaidia. Kws saa bado sana. Jiji linapsswa lote liunganishwe na haya mabasi hii route moja tu ya Kimara-Morocco,-Gerezani-Kivukoni ni kipisi kidogo sana! By the way awamu ya pili ya huu mradi inaanza lini?
awamu ya pili haipo kwenye ilani mkuu
 
Back
Top Bottom