kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
maoni yangu
Serikali inahitaji pongezi katika hili la mabasi ya mwendo kasi, limeondoa usumbufu mkubwa kwa wananchi
Huu mradi ndio unaanza kuelekea mbagala. Ila pande zile, subiri uanze. Maana njia ile madirisha ndio mlango.watu wa mbagala,gongo la mboto vipi,usumbufu umeondoka??
Huu ulioandika unaasilimia kubwa sana kuingia kwenye ukilaza.Mwinyi asema mabasi ya mwendo kasi ni uroda! hivi nin maana ya neno uroda?
Mwinyi pamoja na kuwa rais wa awamu ya tatu bado anaona mwendo kasi ni uroda.
nilichoshangaa zaidi ni:_
Rais msitafu kufunga safari kwenda kupanda mabasi ya mwendo kasi. Je mwinyi alikuwa hajawahi kupanda mwendo kazi pamoja na kuwa rais kwa kipindi cha miaka kumi au mwinyi hajawahi kusafiri na chombo ambacho ni comfortable zaidi ya mwendo kasi?
je ni kweli mwinyi hayo mabasi kwake ni uroda?
View attachment 355208
Umenena vyema mkuuHuu ulioandika unaasilimia kubwa sana kuingia kwenye ukilaza.
Hujui maana ya Uroda???? au akili iko kwenye mapenzi zaidi.
Sasa Mwinyi angepanda mwendo kasi gani kwa miaka kumi iliyopita (alivyokuwa rais)wakati mwendo kasi tanzania imeanza mwaka huu.
Kusema mwendo kasi ni Uroda hajalinganisha na ndege/vogue, au uelewa umeubinafsisha mkuu.
Yeye kasema hayo mabasi kwake ni Uroda, Unataka nani athibitishe kitu ambacho muhusika amesha kifafanua.
Acha hizo, jaribu kujifikilia kabla haujaandika.
Manake ugonjwa ule umewekwa sehemu ambayo kila mtu aipenda. Sukari imeingia sumu. I wish him long life Mzee Mwinyi.Hahahaaaa mzee Mwinyi bana.....huwa anapenda kutumia maneno yenye utata utata.