Mwinjilisti amvaa Rais Magufuli, amuonya

Huyu mwinjilisti ni mchochezi anataka kuharibu amani ya nchi, anatakiwa ahojiwe na polisi haraka sana.

Kwa wale wenye utapiamlo wa ubongo wanauona ushauri huo kuwa ni uchochezi, na viumbe hao wanapatikana kwa wingi hapo lumumba.
 
Mchungaji gani asiyejua mamlaka iliyopo inatambuli mpaka kwa MUNGU?hajielewi huyo,wala kwenye uzi huu sirudi tena

Unataka kusema hata mamlaka za akina Hitler, Idd Amin na wauaji wengine wote ziliwekwa na Mungu? Mamlaka zinazoheshimu haki za binadamu na zinazojenga upendo bila matabaka ya aina yoyote ile ndiyo zenye baraka ya Mungu. Kinyume cha hyo ni lazima tawala hizo zipingwe na siyo kunyamaza na kusingizia kuwa hayo ni mapenzi ya Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Usihangaike na hilo taxi dereva. Halijitambui!
 
Heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu: Mh. 4:13.

Bwana hukaa pamoja na yule aliye mnyenyekevu: Isa. 57:15.

Yeyote atakayejinyenyekeza mwenyewe atakwezwa: Mt. 23:12. Lk. 14:11; Lk. 18:14.

Mungu huwapinga wenye kiburi, na huwapa wanyenyekevu neema: 1 Pet. 5:5–6.
 
Wasiwasi ni hilo kanisa lake lisijefungiwa kwa kisingizio cha kupata usajili isivyo halali
 
kwenda nzako wewe mnafiki mamalaka za duniani ziko chini ya shetani,mungu sio mwanasiasa jifunze kuwa na nidhamu
Wewe ni lijinga kasorobo.mamlaka za dunia ziko chini ya shetani nani kakudanganya
 
Yale yale ya udini yanaanza kuingilia taratibu mamlaka nyingine za utawala.
Watumishi wa Mungu pale wanapoishia ndipo mamlaka nyingine za kidunia ndipo zinapoanzia.
Ukisoma katika Biblia Takatifu kitabu cha Warumi 13:1 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.'
13:2 'Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu. '
Unaweza kuendelea 13:3-14.
Siyo kila mamalaka zilizopo hapa duniani zimetoka kwa Mungu.
Maana hata kama ww ni mwanamume una mamlaka nyumbani kwako. Lakini siyo kila nyumba ina baraka za Mungu, hata shetani ana kundi lake analomiliki.
Hata Mungu alimpa Adam malaka ya bustani ya Eden ila alimkataza kitu kimoja asikitumie na ilimshinda akatii mamlaka za shetani.
Pia Mungu anapotoa mamlaka ya kuongoza watu wake anasema kawaongoze na sio kuwatawala.
Sasa nyie mnatawala badala ya kuongoza. Hivyo hamna mamlaka ya Mungu. Mtajua mna mamlaka ya nani.

Mungu hayupo.

Ni hadithi tu inayotumiwa na Magufuli kuhadaa Watanzania.

Imetumiwa na viongozi tangu enzi za ma Farao na kabla.
 
Unataka kusema hata mamlaka za akina Hitler, Idd Amin na wauaji wengine wote ziliwekwa na Mungu? Mamlaka zinazoheshimu haki za binadamu na zinazojenga upendo bila matabaka ya aina yoyote ile ndiyo zenye baraka ya Mungu. Kinyume cha hyo ni lazima tawala hizo zipingwe na siyo kunyamaza na kusingizia kuwa hayo ni mapenzi ya Mungu.
MUNGU husikiliza watu wake wanataka nini,juzi hapa mmetoka kusema Rais wa kucheka cheka na wa safari hatumtaki,mala oooh hii nchi inahitaji kiongozi mkali ndo itakaa sawa,MUNGU amejibu mlichotaka tena mnarudi kulalamika.nyie ni watu gani?
Unataka kusema hata mamlaka za akina Hitler, Idd Amin na wauaji wengine wote ziliwekwa na Mungu? Mamlaka zinazoheshimu haki za binadamu na zinazojenga upendo bila matabaka ya aina yoyote ile ndiyo zenye baraka ya Mungu. Kinyume cha hyo ni lazima tawala hizo zipingwe na siyo kunyamaza na kusingizia kuwa hayo ni mapenzi ya Mungu.
 
Kamara Kusupa, Mwinjilisti wa makanisa ya kipentekoste hapa nchini, amesema marufuku ya mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya upinzani iliyotangazwa na Rais John Magufuli itavuruga amani ya nchi.

Kusupa ambaye ni miongoni mwa watu walioshiriki katika harakati za kuishinikiza serikali kurejesha mfumo wa vyama vingi mwanzoni mwa miaka ya 1990, amemuandikia barua Rais Magufuli yenye kichwa cha habari; “Msimamo wako utachochea maasi”.

Akizungumza na wanahabari mapema leo, Kusupa amesema, kauli za Rais Magufuli ikiwemo ile kusema watakaoandamana ‘watakiona’ na kusema, ‘mimi sijaribiwi’ ni kauli zinazothibitsha namna rais huyo anavyokosa unyenyekevu wa kiuongozi.

“Ukiwa binadamu huna namna ya kuepuka majaribu, asiyejaribiwa ni Mungu pekee. Ndio maana hata mwokozi wetu Yesu alijaribiwa na pia alitufundisha kwamba tunaposali tumwombe Mungu atuepushe na majaribu.

Mheshimmiwa rais haki inayokuwezesha kuzunguka Manyoni, Singida, Nzega na Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha ukifanya mikutano ya hadhara kuwashukuru wananchi waliokuchagua, ni haki hiyo moja ndiyo waliyonayo Lowasa, Mbowe na wanasiasa wengine,” amesema.

Amemtaka Rais Magufuli, asiwaoneshe watanzania kwamba haki ya mwenyekiti wa CCM taifa inaanzia pale zilipoishia haki za wanasiasa wa vyama vingine kwani kufanya hivyo ni kuchochea maasi.

“Rais Magufuli anapaswa kuhakikisha, taifa halizalisahi wakimbizi kama yalivyotokea maafa ya tarehe 27 Januari, 2001 baada ya Chama Cha CUF kuandaa maandamano na Serikali kuyasambaratisha na kuchochea vurugu zilizozalisha wakimbizi, waliokimbilia nchi mbalimbali ikiwemo Kenya,” amesema Kusupa.

Chanzo: Mwanahalisi

Ukweli uliotukuka, taifa linawahitaji kin
a Kamara Kusupa na Tundu Lissu wengi zaidi, kunyamazia hali hii kwa kisingizio chochote kile ni kulea jipu litakaloangamiza taifa letu katika siku za usoni. Kiongozi wetu anayejaribu kuwa Mungu mtu na asiyeheshimu katiba HATUFAI!
 
Siyo kila mamalaka zilizopo hapa duniani zimetoka kwa Mungu.
Maana hata kama ww ni mwanamume una mamlaka nyumbani kwako. Lakini siyo kila nyumba ina baraka za Mungu, hata shetani ana kundi lake analomiliki.
Hata Mungu alimpa Adam malaka ya bustani ya Eden ila alimkataza kitu kimoja asikitumie na ilimshinda akatii mamlaka za shetani.
Pia Mungu anapotoa mamlaka ya kuongoza watu wake anasema kawaongoze na sio kuwatawala.
Sasa nyie mnatawala badala ya kuongoza. Hivyo hamna mamlaka ya Mungu. Mtajua mna mamlaka ya nani.

Siyo kila mamalaka zilizopo hapa duniani zimetoka kwa Mungu.
Maana hata kama ww ni mwanamume una mamlaka nyumbani kwako. Lakini siyo kila nyumba ina baraka za Mungu, hata shetani ana kundi lake analomiliki.
Hata Mungu alimpa Adam malaka ya bustani ya Eden ila alimkataza kitu kimoja asikitumie na ilimshinda akatii mamlaka za shetani.
Pia Mungu anapotoa mamlaka ya kuongoza watu wake anasema kawaongoze na sio kuwatawala.
Sasa nyie mnatawala badala ya kuongoza. Hivyo hamna mamlaka ya Mungu. Mtajua mna mamlaka ya nani.

Siyo kila mamalaka zilizopo hapa duniani zimetoka kwa Mungu.
Maana hata kama ww ni mwanamume una mamlaka nyumbani kwako. Lakini siyo kila nyumba ina baraka za Mungu, hata shetani ana kundi lake analomiliki.
Hata Mungu alimpa Adam malaka ya bustani ya Eden ila alimkataza kitu kimoja asikitumie na ilimshinda akatii mamlaka za shetani.
Pia Mungu anapotoa mamlaka ya kuongoza watu wake anasema kawaongoze na sio kuwatawala.
Sasa nyie mnatawala badala ya kuongoza. Hivyo hamna mamlaka ya Mungu. Mtajua mna mamlaka ya nani.

Siyo kila mamalaka zilizopo hapa duniani zimetoka kwa Mungu.
Maana hata kama ww ni mwanamume una mamlaka nyumbani kwako. Lakini siyo kila nyumba ina baraka za Mungu, hata shetani ana kundi lake analomiliki.
Hata Mungu alimpa Adam malaka ya bustani ya Eden ila alimkataza kitu kimoja asikitumie na ilimshinda akatii mamlaka za shetani.
Pia Mungu anapotoa mamlaka ya kuongoza watu wake anasema kawaongoze na sio kuwatawala.
Sasa nyie mnatawala badala ya kuongoza. Hivyo hamna mamlaka ya Mungu. Mtajua mna mamlaka ya nani.

Siyo kila mamalaka zilizopo hapa duniani zimetoka kwa Mungu.
Maana hata kama ww ni mwanamume una mamlaka nyumbani kwako. Lakini siyo kila nyumba ina baraka za Mungu, hata shetani ana kundi lake analomiliki.
Hata Mungu alimpa Adam malaka ya bustani ya Eden ila alimkataza kitu kimoja asikitumie na ilimshinda akatii mamlaka za shetani.
Pia Mungu anapotoa mamlaka ya kuongoza watu wake anasema kawaongoze na sio kuwatawala.
Sasa nyie mnatawala badala ya kuongoza. Hivyo hamna mamlaka ya Mungu. Mtajua mna mamlaka ya nani.

Siyo kila mamalaka zilizopo hapa duniani zimetoka kwa Mungu.
Maana hata kama ww ni mwanamume una mamlaka nyumbani kwako. Lakini siyo kila nyumba ina baraka za Mungu, hata shetani ana kundi lake analomiliki.
Hata Mungu alimpa Adam malaka ya bustani ya Eden ila alimkataza kitu kimoja asikitumie na ilimshinda akatii mamlaka za shetani.
Pia Mungu anapotoa mamlaka ya kuongoza watu wake anasema kawaongoze na sio kuwatawala.
Sasa nyie mnatawala badala ya kuongoza. Hivyo hamna mamlaka ya Mungu. Mtajua mna mamlaka ya nani.
Soma vizuri Warumi 13:1-14
Tatizo hatupendi kusoma vitabu, hii yote ni kujifanya wajuaji na welevu sana kushinda maandiko matakatifu.
Soma maandiko upate hekima.
 
Yes, Now we are talking. Nilitaka kushangaa, hivi hakuna mtumishi hata mmoja mwenye upako wa kukemea haya?! Now, we have one.
 
Jamani huenda atasikia ushauri wa kadinali muadhama. Lakini bahati mbaya nilisikia anaumwa labda ndiyo maana hajapata muda wa kumshauri. Muadhama Mungu akujalie upone haraka ili kwa hekima na busara zako utusaidie kutoa ushauri ili taifa letu lisalimike
 
Hongera mtumishi wa Mungu kusema ukweli! siyo wengine wanasema et " ugoro ni kahawa" ajabu!!
 
Back
Top Bottom