Kijana aliyejitosa baharini katika Meli ya Zanzibar III, mwili wake umepatikana maeneo ya Tumbatu.
Daktari Mkuu msaidizi wa Hospitali ya Kivunge Kaskazini Unguja Dkt Tamim Hamad akiri kupokea mwili wa Mahmoud Mwalim akiejirusha baharini akiwa amefariki.
"Leo majira ya saa 10 jioni tumepokea mwili wa Kijana huyo ambao umekutwa katika eneo la bahari ya Tumbatu Kaskazini Unguja," amesema.
📸 CloudsDigital

Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Bahari Zanzibar Shekha Ahmed Mohamed, amekiri kupokea taarifa za kujirusha baharini kwa kijana huyo Mahmoud Mwalim Saleh ‘30’ wakati akiwa kwenye Boti ya Zanzibar 3 iliyokua ikitokea Pemba kurejea Zanzibar Tukio hilo limetokea majira ya saa 4:30 asubuhi...
www.jamiiforums.com