Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

HIMA HIMAAAAA TANZANIAAAAAAA !!!!! SALUTE TO MY SOLDIER:loco::loco::loco::loco:

Duniani tunapita na makazi yetu ahera, ni wasafiri tupo kwa muda katika kituo cha dunia na hivi punde tutaenda kituo kinachofuata yaani kaburi, Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi kamanda na mema yako yawe mtetezi wako uendako nasi tupo nyuma yako.
 
asymmetric warfare....that's sun tzu' art of war tactics
 
Komando anakufa?

japo imeniuma kwa yeye kufa lakini komando kuuawa na sniper napata mashaka. ila kwa nchi yetu kama tuna ma Dr. na Prof. feki si ajabu kuwa na Commando wa kuchonga kama komando kipensi wa deadly prey.
 
japo imeniuma kwa yeye kufa lakini komando kuuawa na sniper napata mashaka. ila kwa nchi yetu kama tuna ma Dr. na Prof. feki si ajabu kuwa na Commando wa kuchonga kama komando kipensi wa deadly prey.

unajua sniper ni nani? au unabwabwaja tu,,, unajua sniper shot? hii nchi haina commando feki toa mawazo yako mgando, na huyu kijana alisomea u-commando nje ya nchi.sniper aliyebobea hakosi target, uwe commando hata uwe nani, its one shot one kill
 
Amekufa kwa heshima.
Kila jambo lina cha kujifunza.
Hapa cha kujifunza ni kuwa vyeo na status vinatakuwa kuwa covered wakati wa vita.
Hao ndio target ya snipers.
R.I.P Kamanda !
 
japo imeniuma kwa yeye kufa lakini komando kuuawa na sniper napata mashaka. ila kwa nchi yetu kama tuna ma Dr. na Prof. feki si ajabu kuwa na Commando wa kuchonga kama komando kipensi wa deadly prey.

Komando kufa vitani ni kitu cha kawaida ni kwa sababu highly trained soldiers ndo wanaolengwa sana na adui mfano wenye nyota(maafisa)Kama commando Mlima kumbuka ana nyota mbili plus kofia yake(maroon berret) ilimtambulisha yeye ni commando ndo mana yy alipigwa na wenzake wakaachwa
Ni vizuri ukajifunza ku appreciate effort za mtu kama huyu na sio kurukia kwnye mashaka yako ambyo pia siyo ya kweli kwa sababu ni mashaka
RIP LT COMMANDO MLIMA,....your country is proud of you..
 
eti anaekufa vitani na anaerudi akiwa mzima nani anaestahili kuitwa shujaa?
 
Apumzike kwa amani, kiukweli amekufa kishujaa and He'll surely rest in eternal peace!
 
Gazeti la uhuru la tarehe 29/10/13 liliandika kanali wa jwtz auawa na m23. Wanashindwa kutofautisha cheo cha luteni na cheo cha kanali.
 
eti anaekufa vitani na anaerudi akiwa mzima nani anaestahili kuitwa shujaa?

anaweza huyo aliyerudi salama vitani hakua front line, unit za kina mlima ndizo zinapambanana adui directly, bunduki kwa bunduki, risasi haibagui comrade, ukilengwa haikwepeki
 
MhhhhKobogo Nimesoma comment zako kwengine kumhusu Bisiima ukawa unamkingia kifua, na hapa tena unaonekana hutaki uwepo wa JW kule DRC. Kama vile na wewe Mnyamlenge nini? Unajua mtu utamjua kwa maoni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…