Mwili unasisimka

Mwili unasisimka

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,261
Reaction score
764
Hivi inapotokea kuwa kila unapomwona mtu flani mwili unasisimka inamaanisha nini jamani?
 
Ushanasa kwake huyo! Asilimia kubwa wewe ndio unakuwa na mshawasha naye basi ujue ndo hivyo tena!
 
Hizo ni tamaa za ngono. Kama ni upendo moyo ungeenda mbio bila kusisimka mwili
 
Me nakumbuka kuna member humu Jf niki Quote uzi wake,mwili wangu wote ni lazima unisisimke.
Mpaka leo Sijajua ni kwanini.
 
Ni mimi nini au nimekosea?

Hapana utakuwa umekosea.
Yeye hajaonekana humu tangu tar 19 mwezi huu wa Sept.
:ban: hana, japo aliniambia anakwenda Zambia Kikazi.
Halafu yeye wala si wa huku ChitChat.
Yuko kule Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Business.
 
Back
Top Bottom