Mwili unasisimka

Hapana utakuwa umekosea.
Yeye hajaonekana humu tangu tar 19 mwezi huu wa Sept.
:ban: hana, japo aliniambia anakwenda Zambia Kikazi.
Halafu yeye wala si wa huku ChitChat.
Yuko kule Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Business.

Itakuwa mimi........ndio nimetoka Lusaka na mapochopocho
 
ni aina gani ya mtu unayemzungumzia?
kama ni kibibi kizee sana au kibabu kizee halafu macho yao yawe mekundu na umekutana naye kwenye kimsitu flani hivi, ukiona tu mwili umekusisimuka walah jua umepishana na Mwanga.
Ila kama ni sehemu ya mtoko na ukamuona binti mrembo mzuri au kijana mtanashati,na mwili ukasisimka aaah basi tambua wadudu wanyevuaji wamekutembelea
 
Watu wengine humu ni maprofesa wa uongo jamani! Nanukuu "...Quotes zake nikisoma nasisimka....sijawahi kuonana naye.... hataPM hatujawahi...ni wa kwny jukwaa la siasa na biznes...hajaandika humu tangu sept 19.. ALINIAGA ANAENDA MALAWI KIKAZI" NO NEM.
 
Arushaone nakusalimu kwa amani ya bwana!
 
Last edited by a moderator:
ni aina gani ya mtu unayemzungumzia?
kama ni kibibi kizee sana au kibabu kizee halafu macho yao yawe mekundu na umekutana naye kwenye kimsitu flani hivi, ukiona tu mwili umekusisimuka walah jua umepishana na Mwanga.
Ila kama ni sehemu ya mtoko na ukamuona binti mrembo mzuri au kijana mtanashati,na mwili ukasisimka aaah basi tambua wadudu wanyevuaji wamekutembelea

hahahaha, ni mwanaume. Nashangaa hao wadudu kwanin wasinitembelee muda wote tangu nimemfahamu waanze sahv!!
 
Watu wengine humu ni maprofesa wa uongo jamani! Nanukuu "...Quotes zake nikisoma nasisimka....sijawahi kuonana naye.... hataPM hatujawahi...ni wa kwny jukwaa la siasa na biznes...hajaandika humu tangu sept 19.. ALINIAGA ANAENDA MALAWI KIKAZI" NO NEM.

Wangu,
Mwenzio Napumulia Mashine muda huu.
Kwa hyo unabishana na mimi?
Haya mtu mwenyewe ni.....
 
Back
Top Bottom