Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,787
- 8,115
Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo.
Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji.
Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa udhalilishaji aliofanya.
Ana harass watu atakavyo na hakuna hatua yeyote anayochukuliwa.
Huyo Chuchu akipata wanasheria wazuri ana uwezo wa kum sue huyu mpuuzi for defamation and harassment.
View: https://www.instagram.com/reel/DLPqFZoIEPU/?igsh=ZWkydG14ZnQycTZi