Mwijaku amewahamasisha muanze kutembea kama mlivyozaliwa, nadhani Simba mmepata mtu

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,979
28,504
Muhamasishaji ndio huyo keshapatikana, mambo yameanza kwa mashabiki na viongozi wote wameshahamasishwa watembee uchi mitaa ya Mwenge hadi Kawe.

Kama haitoshi kasema kabisa tuwapige mawe hadi mjifie hayo sio maneno yangu ni maneno ya muhamasishaji wenu.

Tunasubiri ahamasishe wapi mtaanza kua mnavulia nguo ili muanze huo msafara wa kutembea uchi huku mkiongozwa na Mwijaku mwenyewe muhamasishaji wenu.

Sisi Yanga bila hiyana tutakuwa tunawaangalia kwenye TV hadi mnapomaliza zoezi lenu kama muhamasishaji alivyosema na tunawatakia kila la kheri.
 
Kasema wapi hayo maneno,tuwekee link na sie tukaone

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app

IMG_8221.jpg

Unaona hapo Simba wenzako taarifa zimewafikia wanajiandaa kwa zoezi zima kama alivyosema muhamasishaji
 
Hawa watu wenye maneno shombo watakuja kutia hasara siku moja taasisi zilipishwe fidia kwa kuchafua watu au taasisi zingine.

Vile vile siku ukimvunjia mkataba shombo ataziendeleza dhidi yako

Ndio muhamasishaji wa klabu naamini mtamuunga mkono
 
kwa mwijaku mtatulia tu! manara wenu sashivi atakuwa anaropekea chumbani maana kashampata wa size yake
 
kwa mwijaku mtatulia tu! manara wenu sashivi atakuwa anaropekea chumbani maana kashampata wa size yake
Hivi ukisikiliza hii kauli ya Mwijaku ni nani atakayetulia kama sio mashabiki wa Simba? Anaonesha alivyo mtupu kichwani hajui yapi ya kuyazungumza
 
Attachments

  • Instagram(1).mp4
    547.9 KB
Muhamasishaji ndio huyo keshapatikana, mambo yameanza kwa mashabiki na viongozi wote wameshahamasishwa watembee uchi mitaa ya Mwenge hadi Kawe. Kama haitoshi kasema kabisa tuwapige mawe hadi mjifie hayo sio maneno yangu ni maneno ya muhamasishaji wenu.

Tunasubiri ahamasishe wapi mtaanza kua mnavulia nguo ili muanze huo msafara wa kutembea uchi huku mkiongozwa na Mwijaku mwenyewe muhamasishaji wenu. Sisi Yanga bila hiyana tutakuwa tunawaangalia kwenye TV hadi mnapomaliza zoezi lenu kama muhamasishaji alivyosema na tunawatakia kila la kheri.
Makubwa haya
 
Muhamasishaji ndio huyo keshapatikana, mambo yameanza kwa mashabiki na viongozi wote wameshahamasishwa watembee uchi mitaa ya Mwenge hadi Kawe.

Kama haitoshi kasema kabisa tuwapige mawe hadi mjifie hayo sio maneno yangu ni maneno ya muhamasishaji wenu.

Tunasubiri ahamasishe wapi mtaanza kua mnavulia nguo ili muanze huo msafara wa kutembea uchi huku mkiongozwa na Mwijaku mwenyewe muhamasishaji wenu.

Sisi Yanga bila hiyana tutakuwa tunawaangalia kwenye TV hadi mnapomaliza zoezi lenu kama muhamasishaji alivyosema na tunawatakia kila la kheri.
Aliyependekeza huyu jamaa awe msemaji wetu hataiyona pepo
 
Hapo ndo Mwijaku anazidi kuvuma,kutoa maneno ya shombo ili yawe mjadala ndo kiki kwake kama alivyo msukule na yeye ndo anapita mulemule.
 
Hapo ndo Mwijaku anazidi kuvuma,kutoa maneno ya shombo ili yawe mjadala ndo kiki kwake kama alivyo msukule na yeye ndo anapita mulemule.
Shida ya huyu mpira hajui hata ukimwambia ataje wachezaji 6 tu wa Simba hakupi jibu Bora uwe una maneno ya shombo lakini angalau unakuwa unajua team yako unayoisemea pamoja na mpira kiujumla
 
Back
Top Bottom