Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,184
- 2,471
Huyu ndiye PhD holder wa uchumi!!! "It is a pity to have such leaders"!Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
View attachment 1857046