Mwigulu: Vituo vya Polisi 159 vilichomwa moto

Eti tunazaa watoto milioni 3 kila mwaka, wewe kila mwaka unazaa wangapi?

Mnataja uharibifu wote huo halafu mnatuambia zaidi ya watanzania milioni 32 walipiga kura. Wakati huo huo TBC haikurusha hata tupicha tumoja Live au katika taarifa ya habari kwa siku kadhaa kuripoti matukio hayo ya uharibifu. Mnajidhalilisha.
watoto waliozaliwa mwaka jana ni milioni 3,123,679 takwimu za wizaya ya afya ipo mpaka kwenye website yao kuanzia mwaka 2022 kila mwaka wanazaliwa 3 M+ Kuhusu kura milioni 32 hazina uhalisia kabisa siwezi kuwa mnafki niteteee kitu cha ajabu kama hicho
 
Wajinga sana ,wanakuza mambo ili ionekane uharibifu ulikuwa mkubwa ndiyo maana watu wamekufa wengi! Vituo vilivyochomwa baadhi ni kutokana na polisi kukamata watu hovyo na kuwaweka ndani na ndiyo wazalendo wakaenda kuwasalimia.

Lameck Madelu atupe list ya hivyo vituo 15 sehemu vilipo na picha zake zakionyesha vimeungua....Picha za watu waliouawa zipo inakuwaje za vituo hakuna zaidi ya vituo vitatu tu ndiyo vinaonyeshwa?
Arusha pekee yake wamechoma vituo 19 Hapa mbeya mjini 9 bado sijui huko kwingine usibishe wakati ofisi ya PM ndo inaratibu maafa
 
Mkuu mbona logic yangu ni simple tu:-

Weka list ya vituo vilivyochomwa na picha zake ,nakupa benefit of dout na wewe ,kwa kuwa umesema Arusha wamechoma 19 basi niwekee 6 tu na mbeya umesema 9 niwekee vitatu tu.

Na kwa Nchi zima nimesema weka 15 na picha zake basi ,ukiweka hivyo tunafunga mjadala.
 
Leo waziri mkuu ameeleza takwimu ya sehemu ya hasara iliyopatikana tarehe 29 October kuwa ni

Vituo 159 vya polisi, magari binafsi 1600, vituo vy mafuta 600, magari ya serikali 1200 ambulance 200 nyumba binafsi nyingi walijaribu kuchoma TCRA, Tanesco, ghala za mafuta kurasini , bandari , Magufuli terminal. vituo vya SGR

Sasa natoa rai maalum kwa Rais na amiri jeshi mkuu, nitaleta barua rasmi kimaandishi yenye jina Langu Godwin kuoba yafuatayo.

1. Vijana wote waliopo ndani na ambao bado wapo mtaani watakaotajwa na wenzao wanyongwe tarehe 9 December tena irushwe live kwenye TV ili tutoe fundisho kwa wapumbavu wote na huko wanaowatuma

2. Kuna task force ipo Kenya ya kuchochea riots tuombe kwa Ruto watuletee wenyewe la sivyo tuvunje ubalozi na Kenya, au tuige style ya china, rusia NA IRAN tuwafuate huko huko kimafia na wakamatwe wakiwa hai ili watajane uwezo huo tunao kama mnataka msaada ombeni ntawaletea wakiwa hai ndani ya mwezi 1 tu , mbona kuna wasomali wengi sana isiliii pale ni cartel hatari sana na wazito bora tuwape Bilioni 2 watufanyie kazi tuokoe maisha ya watu wetu na mali zao

3. Tatu yule wa Marekani aletwe la sivyo nayo tuiombe Marekani kuwa inatukosea na sisi tuchukue hatua mbona wao wakiomba mhalifu tunawapa kwa nini wao wakatae? nadhani labda hatujaomba

Mwisho fuatilieni sana kwa nini siku ya kwanza polisi hawakuchukua hatua haraka ya kuwapiga risasi sawasawa pale tu walipoanzisha vurugu kwa nini walisubiri mpka siku ya pili ?

4 Fuatilieni kwa nini bado wapo hai waliohusika na wamerudi mtaani naamini bado wapo wengi sana walihusika ila hawakukamatwa naomba sana WAFUATILIENI , WAKAMATENI NA WAUAWE Bila hivyo tutachezewa sana

Kagame ameset standards za nidhamu kwa wananchi wake sisi tunachekea washenzi , majuha

TUSIWACHEKEEE HAWA TAKATAKA JAMANI TUNAZAAA KILA MWAKA WATOTO MILIONI 3 TUWAONDOE HAWA WASHENZI HATA KAMA NI ELFU 50 SIO TATIZO
Kama nyinyi ndiyo washauri wa watawala, basi kazi ipo.
 
Mkuu mbona logic yangu ni simple tu:-

Weka list ya vituo vilivyochomwa na picha zake ,nakupa benefit of dout na wewe ,kwa kuwa umesema Arusha wamechoma 19 basi niwekee 6 tu na mbeya umesema 9 niwekee vitatu tu.

Na kwa Nchi zima nimesema weka 15 na picha zake basi ,ukiweka hivyo tunafunga mjadala.
bahati mbaya kama hichi chetu cha uyole bahati mbaya sikupiga picha msagati ni bele yetu next kutoka uyole
 
Majibu ya mtu ambaye hasikilizwi kwa muda mrefu ni magumu na hayatabiriki.Tuache sasa kunyosha kidole nani mwenye kosa kati ya wandamaji na vyombo vya dola;tujikite tutarudishiaje nchi yetu katika hali tulioizoea.
Haya ni maoni yangu ya dhati
(1) Viongozi wastaafu ndg Filip Mpango,ndg Filip Mang'ula na ndg Warrioba wamshauri Rais a sacrifice na kukubali kuundwa kwa serkali ya mpito itakayomalizia mchakato wa katiba.Bunge la kuidhinisha katiba baada ya marekebisho litokane na wananchi kutoka makundi mbalimbali kisha kupanga uchaguzi mpya kupitia tume Huru mpya.
Naamini jambo hili litaleta matumaini mapya.Kwa sasa hakuna kiongozi anayeweza kujibu maswali ya watanzania kwa sasa.Haya ni mawazo yangu tu.
 
watoto waliozaliwa mwaka jana ni milioni 3,123,679 takwimu za wizaya ya afya ipo mpaka kwenye website yao kuanzia mwaka 2022 kila mwaka wanazaliwa 3 M+ Kuhusu kura milioni 32 hazina uhalisia kabisa siwezi kuwa mnafki niteteee kitu cha ajabu kama hicho
Unahesabu watoto wa wenzio kama wako, nimekuuliza kila mwaka wewe unazaa wangapi ili tukutegemee ufidie hao unaotaka kuwaua? Shenzi mkubwa.
 
Mimi nina 6 wakubwa mwakani naanza upya nina mpango wa kutafuta vi mapacha mapacha na ma genz wa hapa mzumbe na TEKU Maana nina 50 kamili majukumu yameshapungua
 
Acha kuchukulia watoto wa wenzio kama nzi. Acha kuwa mpumbavu. Anza kuua wa kwako kwanza.
 
Thamani ya roho zilizopotezwa haziwezi kuthaminishwa kwa vyovyote na mali
 
Leo waziri mkuu ameeleza takwimu ya sehemu ya hasara iliyopatikana tarehe 29 October kuwa ni

Vituo 159 vya polisi, magari binafsi 1600, vituo vy mafuta 600, magari ya serikali 1200 ambulance 200 nyumba binafsi nyingi walijaribu kuchoma TCRA, Tanesco, ghala za mafuta kurasini , bandari , Magufuli terminal. vituo vya SGR

Sasa natoa rai maalum kwa Rais na amiri jeshi mkuu, nitaleta barua rasmi kimaandishi yenye jina Langu Godwin kuoba yafuatayo.

1. Vijana wote waliopo ndani na ambao bado wapo mtaani watakaotajwa na wenzao wanyongwe tarehe 9 December tena irushwe live kwenye TV ili tutoe fundisho kwa wapumbavu wote na huko wanaowatuma

2. Kuna task force ipo Kenya ya kuchochea riots tuombe kwa Ruto watuletee wenyewe la sivyo tuvunje ubalozi na Kenya, au tuige style ya china, rusia NA IRAN tuwafuate huko huko kimafia na wakamatwe wakiwa hai ili watajane uwezo huo tunao kama mnataka msaada ombeni ntawaletea wakiwa hai ndani ya mwezi 1 tu , mbona kuna wasomali wengi sana isiliii pale ni cartel hatari sana na wazito bora tuwape Bilioni 2 watufanyie kazi tuokoe maisha ya watu wetu na mali zao

3. Tatu yule wa Marekani aletwe la sivyo nayo tuiombe Marekani kuwa inatukosea na sisi tuchukue hatua mbona wao wakiomba mhalifu tunawapa kwa nini wao wakatae? nadhani labda hatujaomba

Mwisho fuatilieni sana kwa nini siku ya kwanza polisi hawakuchukua hatua haraka ya kuwapiga risasi sawasawa pale tu walipoanzisha vurugu kwa nini walisubiri mpka siku ya pili ?

4 Fuatilieni kwa nini bado wapo hai waliohusika na wamerudi mtaani naamini bado wapo wengi sana walihusika ila hawakukamatwa naomba sana WAFUATILIENI , WAKAMATENI NA WAUAWE Bila hivyo tutachezewa sana

Kagame ameset standards za nidhamu kwa wananchi wake sisi tunachekea washenzi , majuha

TUSIWACHEKEEE HAWA TAKATAKA JAMANI TUNAZAAA KILA MWAKA WATOTO MILIONI 3 TUWAONDOE HAWA WASHENZI HATA KAMA NI ELFU 50 SIO TATIZO
Nchimbi atakuwa makamu wa Rais wa kufungua sherehe, warsha, mikutano na kuzindua miradi.
 
Walistahili kupigwa risasi hakutakiwa apone hata nyumbu mmoja.
 
bahati mbaya kama hichi chetu cha uyole bahati mbaya sikupiga picha msagati ni bele yetu next kutoka uyole

Yaani kituo kichomwe kusiwepo na picha hata moja? Really? Like seriously? Basi weka List ya hivyo vituo vilivyochomwa waungwana wakapige picha jinsi vilivyo kwasasa ,usiweke picha vitaje tu.
 
Back
Top Bottom