Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Kweli mkuu,, Hongera sana kwa mleta uzi. Ameonesha uzalendo mkubwa sana kwa nchi yake.
Spendi kurudia walichochangia wadau wengi humu, nilicho kipenda hapa ni hiki; Hivi magamba wanajua kuwa sasa hivi hawapendwi sio tu na wananchi bali hata ndani yao pia kuna wazalendo wanaopenda nchi yao kuliko chama chao? kwani huu uzi umefikaje hapa, someni alama za nyakati, ni kweli ccm imekufa!