MWIGULU tena SUMBAWANGA Mjini

MWIGULU tena SUMBAWANGA Mjini

Amakweli hapo kwenye red JF kiboko yao....Sijui ccm wanafikiriaje juu ya uvujaji wa siri zao..

taratibu watajikuta wakiamini kuwa si JF tuu hata CDM wana kiongozi CCM anagombea nafasi kitaifa kama Si kuteuliwa kugombea urais.Arumeru walikuwepo, Arusha na kila mahali wapo.Si ajabu JK naye akatafuta hifadhi CDM kam sumaye very Soon kwa kauli dhaifu kama "CCM ya siku hizi tangu niondoke imeingiliwa"
 
Huko Sumbawanga CCM imeshikwa pabaya sana. Kwanza kabisa kampeni zao za udini zitashindwa kwa sababu huko kuna 'intellectual religion' ikiongozwa na mapadre, maaskofu, wachungaji, et al na hakuna viongozi wa dini 'vihiyo' kama masheikh, etc. Pia huyo Aeshi aliwatusi Wakristo wa huko kwa kusema kuwa 'ameuzika msalaba Sumbawanga' baada ya kushinda 2010 Hivyo basi CHADEMA wana potentials kubwa sana ya kushinda huko iwapo watazichanga vema karata zao. Mwisho kabisa ni kwamba CCM imeshindwa kuboresha maisha ya watanzania kwa kipindi cha miaka hamsini, hivyo basi' CCM SHOULD GO TO HELL NOW'.
 
Kwani mwiguli ni katibu mwenezi? Msomi asiyejua his job discription.
 
nategemea kuona vita ya radi.sera zikiwaishia watakimbilia uchawi lazima. chezeya ccm weye!. mia
 
Wameamua Filikunjombe naye apate angalau kaskendo kadogo? Kampeni haitaisha, kama atakanyaga uko, bila kufanywa takataka.
 
Chondechonde jamani mwigulu nchemba sumbawanga makada wenzie wachunge wake zao,maana atafanya kama igunga kuchukua wake za wa makada wenzio!!!!!!!!!

Haachi kitu,hat beki 3 anabeba tu...
 
wakati wa filikunjombe kuchafuka umewadia na wamefanya makusudi ili wapime loyalty yake kwa chama,..nahisi hata maneno ya kuongea wamemuandalia,.msishangae fili akageuka kuwa lusinde
 
huu uzi siuamini hata kidodo hauna udhibitisho.mleta mada unawachora tu mnavyopayuka na Mwigulu...... :ranger:
 
Kipenga kimelia jimbo la Sumbawanga Mjini. Ni baada ya Mahakama ya Rufani Tanzania kutupilia mbali rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM,Hilary Aeshi. Kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi,ndani ya siku 90,uchaguzi mdogo utafanyika. Mahakama ya Rufani ndiyo Mahakama ya mwisho.Jana,jimbo la Sumbawanga Mjini limekuwa wazi rasmi.

Baada tu ya uamuzi huo wa Mahakama ya Rufani, wazito wa CCM waliitana Ofisi Ndogo za CCM-Dar es Salaam kwa kikao cha dharura. Kikao kilianza saa 2.00 usiku na kuisha saa 6.30 usiku. Kilikuwa na vigogo wa juu wa CCM wakiwemo baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Ajenda ilikuwa ni Uchaguzi wa Sumbawanga Mjini.

Katika kikao hicho ambacho nami shushushu huru nilikuwemo,timu ya Kampeni ilipangwa kabisa. Itaoongozwa na Mwigulu Lameck Nchemba,Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM. Mwigulu atasaidiwa na timu inayoundwa na vijana wengi wa Sumbawanga Mjini waliobatizwa jina la 'Watoto wa Nyumbani'. Watia nguvu watakuwa akina Wassira,Firikunjombe na Lusinde. Fomu zitaanza kutolewa mwezi huu mwishoni.

Hatahivyo, UVCCM wametakiwa kukaa mbali na uchaguzi huo kwakuwa kwasasa hawana picha nzuri kwa jamii kutokana na kile kinachoendelea katika chaguzi zao. Ningweza kuandika mengi.Lakini nina 'hang-over' ya mkutano wa Lumumba.Kumekucha!

Naomba Mwigulu atahadhalishwe juuu ya wake za watu maana anaweza asirudi na naniii zake
 
Natoa rai kwa wanaume wa Sumbawanga mjini wenye wake wahakikishe wako nao kila sekunde vinginevyo imekula kwao. Jembe limepangwa likalime huko!.
 
Watu wajiandae kuokota miili ya watu walionyofolewa macho na UVCCM, kila alipo Nchemba lazima damu imwagike, ni muuaji sana huyu kijana.
 
Unadhani watampeleka nani zaidi ya huyo mharibifu?Wanajiandalia anguko lao.
Wampeleke Le Mutuz achukue nafasi ya baba yake mzee Tingatinga aka Katapila aka mzee wa mtera aka Waziri Mkuu mstaafu!
 
Naamini kazi wanayo wananchi wa sumbawanga kwa kutumia haki yao ya kikatiba ili watuletee mtu ambaye atakuwa makini na bora mtu.itikadi zao za kisiasa waziweke pembeni kwanza ili watuletee mpambanaji ambaye ataleta mchango na hamasa kwa watanzania
 
Kwa timu hiyo ya Lameck Madelu a.k.a Mwigulu, wassirana lusinde basi sina shaka yoyote kwamba Chadema tunachukua kiulani jimbo la sumbawanga. Na kitu kizuri zaidi vijana wa sumbawanga wajiandae kujazwa mafedha kwani kama udiwani wa daraja mbili Arusha wameandaa bajeti ya sh.laki moja kwa kila kichwa bila shaka kwa ubunge wataandaa bajeti ya milioni moja kwa kila kichwa.

Wanasumbawanga kipindi cha neema ndio hichooo kinakuja na kama mjuavyo mwigulu anazungumza kwa kutumia wekundu tu si vinginevyo.
 
Mwigulu chonde chonde wake za watu, kule hawacheki wale, wanakutumia radi.
Iende irudi hiyo mhishimiwi.

kama kawaida yake kampeni za kitanda kwa kitanda ndani ya nyumba za makada wenzake
 
Kwasababu atakuwepo Lusinde, nyumbani kwangu ni marufuku kwa watoto walio chini ya miaka 18 kusikiliza Redio au kuangalia TV yanayojiri Sumbawanga

Kwi kwi kwi kwi... Kiwanda cha matusi...!
 
Back
Top Bottom