Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
"Mwindaji akimaliza mishale porini silaha ya mwisho ni kiatu!"
Maneno mazito sana haya....
"Mwindaji akimaliza mishale porini silaha ya mwisho ni kiatu!"
Isanity: Keeping doing the same things in the same way expecting a different result!!!!! Hawa jamaa huu ndo ugonjwa wao!!!!CCM wangekuwa wanafunzi wangepata zero. Mwigulu ni disaster, kaleta balaa Igunga akaleta kushindwa Arumeru Mashariki, leo wanataka wampeleke tena na S'wanga mjini!!
Watanzania wenzangu bwana, badala ya kuhurumia over 3.5bilion inazikwa kwa uchaguzi mdogo ktk eneo ambalo halina maji ya kutosha, madawati, vitio vya afya nk tunashabikia uchaguzi kama vile ni mechi ua Simba na Yanga. By the way hata uchaguzi ukarudiwa majibu yako wazi. CCM ITASHINDA. SUMBAWANGA? SUMBAWANGA? SIKU YA KUPIGA KURA, YAANI DAKIKA 30 TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA, CCM INASHINDA. LET US WAIT
duh! CCM hawajifunzi tu kurudia kula matapishi?
Nchemba
Wassira
Lusinde
Watanzania wenzangu bwana, badala ya kuhurumia over 3.5bilion inazikwa kwa uchaguzi mdogo ktk eneo ambalo halina maji ya kutosha, madawati, vitio vya afya nk tunashabikia uchaguzi kama vile ni mechi ua Simba na Yanga. By the way hata uchaguzi ukarudiwa majibu yako wazi. CCM ITASHINDA. SUMBAWANGA? SUMBAWANGA? SIKU YA KUPIGA KURA, YAANI DAKIKA 30 TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA, CCM INASHINDA. LET US WAIT
utadhani kweli una uchungu wakati moyoni unafurahia kuchakachua hela za watz kupitia uchaguziwatanzania wenzangu bwana, badala ya kuhurumia over 3.5bilion inazikwa kwa uchaguzi mdogo ktk eneo ambalo halina maji ya kutosha, madawati, vitio vya afya nk tunashabikia uchaguzi kama vile ni mechi ua simba na yanga. By the way hata uchaguzi ukarudiwa majibu yako wazi. Ccm itashinda. Sumbawanga? Sumbawanga? Siku ya kupiga kura, yaani dakika 30 tu baada ya vituo kufunguliwa, ccm inashinda. Let us wait
Unadhani watampeleka nani zaidi ya huyo mharibifu?Wanajiandalia anguko lao.