MWIGULU tena SUMBAWANGA Mjini

Sijacheka siku nyingi, maadam Lusinde atakuwepo huko naandaa mbavu mapema!
 
Mwigulu amejpambanuwa kama 'mpampanaji wa cdm' lakn amesahau kama kuna wenzake walijipambanuwa kuwa 'wapambanaj wa ufisadi'.bado kdogo tu ataanza kulia-lia wenzake awamsaidii.
 
Timu ya CDM iwe hivi:Vicent Nyerere,Silinde,mwita mwikabwe,sugu,Heche na Msigwa.makamanda wengine wanapewa ratiba yao kama ilivyokuwa arumeru.then awekwe mgombea makini na anayekubalika.Ushindi mchana kweupeeeeeee
 
kuna dogo pale chadema anaitwa HECHE leo inasemekana alikuwa anajiandaa akiwa na mzee yamsebo wanaenda huko kazi ipo na huyu dogo naye ni mbishi wa mapambano saana
 
Ati chemba limefumuka linasema 3.5billion zinakwenda kupotea,sizinapotea sababu ya uozo wa rushwa na imani ktk rushwa ktk wagombea wa CCM?Mnahonga mpaka vikundi vya dini?shame on you!na safari hii Chemba litazibitiwa kwa saruji kalh halitapumua kabisa,Sumbawanga hali ya hewa itakuwa shwari
 
Jamani Mwigulu, Lusinde, Wassira kule Igunga walifanya RAFU MBAYA wakalimwa RED CARD, Arumeru ndiyo wakachemsha kabisa wakatoka kabla ya mechi kumalizika, waliumia magoti, wengine enka, na kukosa pumzi, sasa hawa wachezaji bado majeruhi, na bado wanaletwa tu katika mechi hii tena .......... kwa kweli hawa jamaa wameamua kuuza TIMU, nawapa ushauri wa bure wasimsahau RAGE naona huyu atainua timu kuwa na stamina................. Filikunjombe baada ya kuondolewa jina lake katika kinyanganyiro cha NEC wanamtafutia lawama aonekane ameuza timu..
 
Wanasumbawanga ninawakumbusha jambo moja la MUHIMU nalo ni; "Kula CCM ila biga kura........" malizia. Wajinga ndio waliwao!
 
kipenga kimelia jimbo la sumbawanga mjini. Ni baada ya mahakama ya rufani tanzania kutupilia mbali rufaa ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya ccm,hilary aeshi. Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi,ndani ya siku 90,uchaguzi mdogo utafanyika. Mahakama ya rufani ndiyo mahakama ya mwisho.jana,jimbo la sumbawanga mjini limekuwa wazi rasmi. Baada tu ya uamuzi huo wa mahakama ya rufani, wazito wa ccm waliitana ofisi ndogo za ccm-dar es salaam kwa kikao cha dharura. Kikao kilianza saa 2.00 usiku na kuisha saa 6.30 usiku. Kilikuwa na vigogo wa juu wa ccm wakiwemo baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya ccm. Ajenda ilikuwa ni uchaguzi wa sumbawanga mjini. Katika kikao hicho ambacho nami shushushu huru nilikuwemo,timu ya kampeni ilipangwa kabisa. Itaoongozwa na mwigulu lameck nchemba,mbunge wa iramba mashariki-ccm. Mwigulu atasaidiwa na timu inayoundwa na vijana wengi wa sumbawanga mjini waliobatizwa jina la 'watoto wa nyumbani'. Watia nguvu watakuwa akina wassira,firikunjombe na lusinde. Fomu zitaanza kutolewa mwezi huu mwishoni. Hatahivyo, uvccm wametakiwa kukaa mbali na uchaguzi huo kwakuwa kwasasa hawana picha nzuri kwa jamii kutokana na kile kinachoendelea katika chaguzi zao. Ningweza kuandika mengi.lakini nina 'hang-over' ya mkutano wa lumumba.kumekucha!
hivi ccm akili ya kukaa hadi saa 6 unusu usiku wanaitoa sayari gani. Kwa taarifa yao mwezi 1 uliopita nilikuwa s'wanga muncipaahuko ccm haina chake. Ccm waache kufanya kampeni nawashauri wajiandae kuiba kura. Ndio ni lazima iwe kwasababu ukizungumzia habari za ccm ni lazima uwe mwendawazimu hasa ktk kipindi cha baada ya uchaguzi wa ndani wa ccm. Watu wamejeruhiwa vibaya na wanaapa walah ccm ssm wavurumushwe mawe popote pale walipo hawana adabu kwa tabia ya kuwekana na rushwa za mchana kweupe
 
Back
Top Bottom