Mwigulu ni ushamba au ulimbukeni?

Mwigulu ni ushamba au ulimbukeni?

Skafu hadi msibani...ni kweli unaipenda Tanzania kutoka moyoni...aaa!! bwana acha hizo.

kutokujua ushamba ndio ushamba wenyewe, hata huitaji kuwaza sana ili kugundua mshamba ni EasyFit
 
Mnyika jana alikua na mkutano na wananchi wake wa Ubungo-manzese, so alikua ametoka mkutanoni jioni ile. Alipotoka kwenye mkutano aliuamua moja kwa moja kupita kwenye msiba. Ila magamba wengi walijiapanga na kuingia makabatini mwao kuchukua magamba yao na kuayatinga kwa ajili ya kuja kujionnyesha pale msibani. Angalia nyuma ya nape kuna magamba wawili yanaonekana. acha ambayo hayajaonekana pichani ambayo ni mengi sana.
 
mbona mnyika ametinga kombati la CDM, au hamulioni?. Au ni ile: kuku kanya, akinya bata, kaharisha?.
Kwani kombati ni sawa na skafu? ulitaka aje uchi? akija mjeshi/polisi na magwanda yake utasemaje?anyway yaonekana una upeo mdogo sana,kuanzia leo elewa hivi hilo gwanda alilovaa mnyika kwetu chadema ni vazi la kazi kama unavyomuona mjeshi au askari polisi amevaa gwanda ..kawaeleze na wengine
 
Ni ulimbukeni uliobobea.Kila penye kusanyiko la watu anafikiri ni mkutano wa kampeni akipewa chansi ya kuongea achelewi kusema chagua KANUMBA. Ndio maana vijana wa Meru walimfinya.
 
kwa hiyo kuvaa magwanda ndio uzalendo kwako na kuvaa skafu ya bendera ya taifa sio uzalendo..!kuna tatizo flani kichwani kwako aisee si bure


Kwani hiyo bendera ni ya magamba? ya Taifa? kuwa analytical
 
Sidhani kama hilo ni kosa
Amekufa mtanzania
Waombolezaji ni watanzania bila kujali itikadi
Afadhali yeye kuliko wanaovaa scarf na bandana za bendera ya Marekani
Na amekuwa na tabia ya kuvaa hivi kwa muda mrefu, wala hajaanzia hapo kwenye msiba
 
Nilisema na ninasema msiba huu utatumika kisiasa.
 
90% ya Wakazi wa Singida ni washamba sanaa ni kama Warombo tu kule Moshi, Ushamba upo kwenye damu
 
Sidhani kama Singida ina nafasi hapo,ushamba au ujanja wa mtu hautegemei ametoka wapi! Pia hiyo % uliyotoa umeitoa kwa vigezo gani!
 
Sidhani kama hilo ni kosa
Amekufa mtanzania
Waombolezaji ni watanzania bila kujali itikadi
Afadhali yeye kuliko wanaovaa scarf na bandana za bendera ya Marekani
Join Date : 1st April 2012
Posts : 20
Utoto unakusumbua, sawa nimtanzania skafu ya ccm ya nini? ni msiba wa chama hapa??? Ila sikushangai umetoka facebook ukakimbilia huku. Jipange upya
 
Ushamba skafu anavaa wakati wanaimaliza nchi
 
Ushamba skafu anavaa wakati wanaimaliza nchi

Hapo amevaa ya Taifa, angevaa ya CCM nadhani hadi mapovu yangewatoka!Tuwe na usawaziko jamani sio kila wanachofanya magamba ni kuponda tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom