Mwigulu: Nchi hii tajiri, mtu asikutie mashaka, mambo yote yatakwenda

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu wasitishwe kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali.

images (2).jpeg
 
Ahsante sana mheshimiwa PM
 
Sasa TR107 zilifikaje kama tuna hela zetu?
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu wasitishwe kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Ndio, tunajuwa...
Ila hiyo keki mwala nyie tu!
 
Hadaa ya hawa dhulumati inawalenga wenye akili ndogo. Hakuna mwenye akili timamu anaweza kuzipokea kauli za uwongo na upuuzi mkubwa kama hiyo ya juyi mnafiki.
 
Mnawatia ujinga Watanzania ilihali nyinyi mnavuta mpunga usiopungua 15M. Kwa mwezi

Malala hoi kuiona elf 20 kwa mwezi ikiwa yote, anashukuru mpaka mizimu ya kwao na kumshukuru Rais 😂😂🤗
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu wasitishwe kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Maji Dar es Salaam shida..... Uranium haijatusaidia!
 
Huu wimbo unakuwa maarufu sana toka M029 juzi juzi tu

Vipi, kuna ni?

117T. Lipeni madeni ya watu, Naiomba Dunia yote iwe kinyume kabisa na Tanzania mpaka tuone nyeti za kuku,

Nawaza tu, huwenda ndani ya mwaka huu huu, ikawa zamu ya wafanyakazi wote, wanafunzi mavyuoni n.k wakaandamana kudai mishahara na boom lao
 
Back
Top Bottom