Kwa nn huynu jamaa anapenda kuvaa bendera ya nchi anapokutana na mass? Mfano leo naangalia sherehe za kuzaliwa ccm on tbc1 amevaa bendera kama kawaida yake. Mm cmuelewi anaamanisha nn?
anaipenda nchi yake hadi anaamua aibebe mabegani kila anakoenda
His whole life is a big fakeanataka tu watu wamjue kwa staili hiyo hana lolote. Wengine wanajulikana kwa mema na mabaya. sasa hana la kukumbukwa nalo ameona watu wamjue hata kwa bendera
kubwa jinga
anasali.??Mkuu unashangaa kuvaa bendera kwenye sherehe za CCM? Jamaa anatinga skafu yake hata Kanisani siku za Jumapili!
Ni mshamba pia hilo jina la mwigulu ni langu yeye anaitwa shumbi madelu gulo