Mwigulu Nchemba

DULLAH B.

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
672
149
Kwa nn huynu jamaa anapenda kuvaa bendera ya nchi anapokutana na mass? Mfano leo naangalia sherehe za kuzaliwa ccm on tbc1 amevaa bendera kama kawaida yake. Mm cmuelewi anaamanisha nn?
 
Mkuu unashangaa kuvaa bendera kwenye sherehe za CCM? Jamaa anatinga skafu yake hata Kanisani siku za Jumapili!
 
anataka tu watu wamjue kwa staili hiyo hana lolote. Wengine wanajulikana kwa mema na mabaya. sasa hana la kukumbukwa nalo ameona watu wamjue hata kwa bendera
 
au ndio swaga zake? atuambie... lakini je taratibu za nchi zinaruhusu?
 
Kwa nn huynu jamaa anapenda kuvaa bendera ya nchi anapokutana na mass? Mfano leo naangalia sherehe za kuzaliwa ccm on tbc1 amevaa bendera kama kawaida yake. Mm cmuelewi anaamanisha nn?

Anamaanisha kuwa anapenda kuivaa bendera ya Tanzania! Jee wale wanaovaa beji za bendera ya Tanzania hao unawaelewa?
 
Sioni tatizo mtu kuvaa scuf ya bendera ya nchi yake km anaipenda,mbona watu wanavaa za club mbali mbali za ulaya?
 
hayawezi kuwa maagizo ya mganga kweli,chezeiya politics weye
 
Nishawahi kumsikia akihojiwa, anadai eti anajaribu kuweka ID yake kwa njia ya mavazi kama ilivyokuwa kwa viongozi wa zamani wa Afrika mathalani Mobutu Seseseko na mavazi yake ya ngozi ya chui, Kambarage na kifimbo n.k.
 
I hate politics

I hate this man

Kaz kutukana hovyo hadharan

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwanini wale viongozi wa chama fulani wanavaa magwanda kila wanapokuwa kwa mass mie huwa siwaelewagi... kama mercenaries hivi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom